Nahisi mke mwenzangu anachepuka

tandabui2021

JF-Expert Member
Nov 5, 2021
3,120
5,362
Mimi nimea ,Nina mke na watoto,kazi yangu ni kazi ya kusafiri safiri ,Huwa ni siku chache sana naweza kupata nafasi ya kuwa nyumbani na familia.tatizo nimeanza kuona mabadiliko Kwa mwenzangu , kwenye masuala mbali mbali,yaani hata anavyojibu maswali,sioni kama mwenzangu anashauku na familia kama mwanzo,Sasa hivi Huwa anachelewa sana kurudi job na Huwa sababu ninazopata ni kuwa kazi ni nyingi,ilihali naifahamu kuwa kazini kwao mida ya saa kumi wanakuwa wamemaliza majukumu.kwenye simu hataki tena niguse simu yake ,though sijawahi kukuta kama Kuna dalili ya kusema Kuna mtu anachati naye,nimeshamchunguza sana sioni kama Kuna dalili ya kuwasiliana na mtu yeyote ila ninavyohisi ni kama napigwa na kitu kizito kichwani.nikijaribu kumweleza anasema hawezi kufanya kitu cha namna hiyo ingawa naona hisia zangu zinanituma kuwa Kuna jambo halipo sawa.Mimi naona ni Bora mtu kuwa single .Sasa wadau ni namna Gani naweza kuthibitisha haya mashaka yangu?ni aina Gani ya technolojia inaweza kujisaidia?
 
Teknolojia ya nini, Mbona ni simple tu! Nakushauri anzia hapa, si unasema anachelewa kutoka job, then fanya hivi kodi pikipiki, pozi nje ya office yake ambayo utaona kila anayeingia na kutoka then utakapomuona anatoka/panda gari ya mtu unga tela.
Kama hukumuona then May be amepanda gari yenye tinted, so watu wote ukiona wameisha toka na yeye hujamuona nenda kamuulize mlinzi.
Nakutakia mafanikio mema kwenye fumanizi!
 
Mkuu tandabui2021, umefanya makosa ya kiuandishi au ndiyo kweli mmeolewa mitala? Maana, kwenye kichwa cha mada umesema 'mke mwenzako' lakini kwenye habari unazungumzia kuoa na unayemzungumzia ni mke wako...lipi ni lipi?

Mkuu, jitahidi na uamue kutomfuatilia mwenza wako. Jiweke mbali na simu yake na acha kuishi kwa hisia na wasiwasi. Dhambi ina tabia ya kujianika. Iko siku, utayaona na kuyathibitisha bila hata ya kuyafuatilia.

Live your peaceful life Mkuu!
 
Is this inferiority complex?

Kama umemchunguza hujaona chochote. Bado huna amani naye.

Kazini achelewe kutoka kila siku? Ina maana yeye anabanjuka na huyo mwanaume kila wa leo?

Ningeona sawa, ungechukua hatua kwenda kazini kwake. Ujue muda wa kutoka, huenda utaratibu umebadilika.

But you can trust your instincts.
This is not inferiority complex women wanasomeka if things are not right
 
Vunga mkuu ishi maisha yako.

Fanya hivi punguza shobo, usikuguse simu yake, yaani uwepo wake uwe ni sawa na kutokuwepo kwake, asipojirudi piga chini kabisaa, haina haja ya kumchunguza saana, inaonekana una moyo mdogo usije mdidimiza bisu la moyo bure ukaishia kwenda jela ukaacha watoto wanataabika.
 
Sasa mbona bado wengine tunaelekea kuoa na mambo bado haijatengamaa, me nawashauri watu waoe kimkataba.
Am not married and never married. Story yangu ni different Ila this was the year I could Have gotten married . I had her changed on me . My gut was right the truth was right . I walked away . Same rule . Achana na demu kwao maskini, Single mother families , na mlevi .
 
Mimi nimea ,Nina mke na watoto,kazi yangu ni kazi ya kusafiri safiri ,Huwa ni siku chache sana naweza kupata nafasi ya kuwa nyumbani na familia.tatizo nimeanza kuona mabadiliko Kwa mwenzangu , kwenye masuala mbali mbali,yaani hata anavyojibu maswali,sioni kama mwenzangu anashauku na familia kama mwanzo,Sasa hivi Huwa anachelewa sana kurudi job na Huwa sababu ninazopata ni kuwa kazi ni nyingi,ilihali naifahamu kuwa kazini kwao mida ya saa kumi wanakuwa wamemaliza majukumu.kwenye simu hataki tena niguse simu yake ,though sijawahi kukuta kama Kuna dalili ya kusema Kuna mtu anachati naye,nimeshamchunguza sana sioni kama Kuna dalili ya kuwasiliana na mtu yeyote ila ninavyohisi ni kama napigwa na kitu kizito kichwani.nikijaribu kumweleza anasema hawezi kufanya kitu cha namna hiyo ingawa naona hisia zangu zinanituma kuwa Kuna jambo halipo sawa.Mimi naona ni Bora mtu kuwa single .Sasa wadau ni namna Gani naweza kuthibitisha haya mashaka yangu?ni aina Gani ya technolojia inaweza kujisaidia?
Sasa bichwa la habari mbona haliendani na utumbo wa habari?
 
Mkuu tandabui2021, umefanya makosa ya kiuandishi au ndiyo kweli mmeolewa mitala? Maana, kwenye kichwa cha mada umesema 'mke mwenzako' lakini kwenye habari unazungumzia kuoa na unayemzungumzia ni mke wako...lipi ni lipi?

Mkuu, jitahidi na uamue kutomfuatilia mwenza wako. Jiweke mbali na simu yake na acha kuishi kwa hisia na wasiwasi. Dhambi ina tabia ya kujianika. Iko siku, utayaona na kuyathibitisha bila hata ya kuyafuatilia.

Live your peaceful life Mkuu!
Hapo ndipo na mimi nimekwamia kichwa cha habari na habari yenyewe vinakanganyana km mfalme zumalidi (ni wa kike hyu lkn ni mfalme).
 
Ama kweli njia ya mwongo ni fupi! Au wanasema ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu! Wahenga walijua! Mke mwenzio anachepuka? Halafu ndani unaongelea mke wako?

Back
Top Bottom