Dawa hii isipokusaidia utakua umerogwa

Dawa hii isipokusaidia utakua umerogwa

Ze burner

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
514
Reaction score
84
Siongei sana coz ratio ni maarufu kwa walio wengi . Nazungumzia tatizo last nguvu za kiume. Iwapo unataka kuongeza geji AU km uliishiwa kabisa mafuta fanya kifuatacho and nakuhakikishia kwa uwezo wake Muumba it works like a charm !

1. Kitunguu maji
2. Asali
3.mkate
4. Moto wa mksa

Chukua kitunguu maji kichome kama unachoma kiazi. Kikiwiva vzr kikate small slices km unatengeneza kachumbari. Chukua slice ya mkate na nyunyiza asali safi OG then panga vitunguu vyako kadiri utakavyo. Ones asali juu yake then funika na slice nyengine ya mkate. Kula kama unakula burger.
Ukiona aibu mkeo kujua unachofanya mwambie hiyo ni onion burger.
Kula anion burger yako 2× a day× seven days.
Plz usisahau kushare majibu
 
Namba 4 sijakuelewa, naomba nieleweshe pls.
 
Naomba nichanganue mchanganyiko wako kutokana na uelewa wangu....

KAZI YA KILA KIUNGO
1. Kitunguu - kuongeza blood pressure na kufanya misuli kugangamala.
2. Asali - hufanya mwili kuwa na nguvu ni glucose, huondoa uchovu na kukufanya kuwa na nguvu.
3. Moto wa Mksa - kuharakisha reaction.

4. Mkate ni kama kichanganyio tu hauna faida yeyote...

These are too common things in our life tatzo mnapenda chips.

LAST BUT NOT LEAST

Matthew 10:28

"Do not fear those who kill the body but are unable to kill the soul; but rather fear Him who is able to destroy both soul and body in hell.
 
Hapa najiuliza kwa sauti kidogo!

Kwa nini ukichome kitunguu na usikile kikiwa kibichi?
 
Dawa ni kula ukashiba, kutokuwa na mawazo na muhimu zaidi kuingia na mtu umpendaye. Hayo mengine ni mbwembwe tu.
 
Sa hicho kitungu maji kiiungua kinatoa harufu mbaya sasa ukikichoma je kitakuwaje[emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom