Tafakari_nami
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 783
- 1,560
Ni mti na itwa mti wa mlonge, google hapo youtube utauona. matumizi asubuhi mchana jioni kijiko 1 kidogo cha chai weka kwenye maji ya moto, uchemshe hiyo dawa, chemsha maji tuu kikombe kimoja alafu weka hiyo dawa kwenye hicho kikombe chenye maji ya moto koroga,ikipoa kunywaSijawahi mkuu.. Naomba nisaidie kwanza mlonge ndio mnini?