Msaada: Dawa ya kutibu tatizo la vidonda vya tumbo

laolao

New Member
Oct 6, 2021
3
15
Habari wakati huu wadau. Nmekua na tatizo la vidonda vya tumbo ambayo hua vinakuja na kuondoka baada ya mda. Mara zote hua natumia dawa ya Omeprazole pamoja na dawa za kutuliza maumivu na antibiotics.

Naona kipindi hichi imenirudia tena na nmetumia dawa kama awali lakini naona kupona kunaenda taratibu na leo ni siku kama ya 4 tangu vinibane.

Kama kuna mdau/mtaalamu ambaye anafanhamu dawa nzuri zaidi au mbadala nijaribu. Nitashukuru kwa mrejesho wenu.
 
Kafanye H.pylori test na vitu vingine..

Usimeze tu omeprazole kila siku.
 
Jitahidi tumia dawa za asili.
Kwa tiba ya haraka, cheza sana kwa karibu na asali + mdalasini hii itakufaa sana, nimepata shuhuda kwa watu kadhaa imewafaa hii tiba.

Pia kuna juice ya kabichi nayo ni tiba nzuri mno.

Nakutakia afya njema.
 
Mkuu pole tafuta unga wa manjano iwe mpya alafu tumia vjko 2 vya chai kwenye kikombe cha maji ya vuguvugu na asal mbichi vjko 2 koroga kunywa kutwa mara 2 kwa wiki 1
 
Aisee
Habari wakati huu wadau. Nmekua na tatizo la vidonda vya tumbo ambayo hua vinakuja na kuondoka baada ya mda. Mara zote hua natumia dawa ya Omeprazole pamoja na dawa za kutuliza maumivu na antibiotics.

Naona kipindi hichi imenirudia tena na nmetumia dawa kama awali lakini naona kupona kunaenda taratibu na leo ni siku kama ya 4 tangu vinibane.

Kama kuna mdau/mtaalamu ambaye anafanhamu dawa nzuri zaidi au mbadala nijaribu. Nitashukuru kwa mrejesho wenu.
 
Mkuu pole tafuta unga wa manjano iwe mpya alafu tumia vjko 2 vya chai kwenye kikombe cha maji ya vuguvugu na asal mbichi vjko 2 koroga kunywa kutwa mara 2 kwa wiki 1
Umetisha
 
Jitahidi tumia dawa za asili.
Kwa tiba ya haraka, cheza sana kwa karibu na asali + mdalasini hii itakufaa sana, nimepata shuhuda kwa watu kadhaa imewafaa hii tiba.

Pia kuna juice ya kabichi nayo ni tiba nzuri mno.

Nakutakia afya njema.
Learning
 
Tiba zipo tatizo kila mtu humu ndani mwenye tiba ya kweli ni tapeli , dawa ipo mi na ushuuda .mungu awepe maarifa .tunaangamia kwa kukosa maarifa mungu awefungue
 
Jitaidi tumia maidi chemsha maana wanadai zile ndevu za maindi ndo dawa wakaenda mbali wakasema ukiweza chemsha zile ndevu unywe ile supu yake na asali na karanga umemaliza kila kitu
 
Habari wakati huu wadau. Nmekua na tatizo la vidonda vya tumbo ambayo hua vinakuja na kuondoka baada ya mda. Mara zote hua natumia dawa ya Omeprazole pamoja na dawa za kutuliza maumivu na antibiotics.

Naona kipindi hichi imenirudia tena na nmetumia dawa kama awali lakini naona kupona kunaenda taratibu na leo ni siku kama ya 4 tangu vinibane.

Kama kuna mdau/mtaalamu ambaye anafanhamu dawa nzuri zaidi au mbadala nijaribu. Nitashukuru kwa mrejesho wenu.
Mkuu pole kwa Maradhi yako ya vidonda vya tumbo usipo pona kwa dawa za hospitali nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako upate kupona kabisa hivyo vidonda vyako vya tumbo uguwa pole.
 
Tumia mashona nguo. Chukua majani ya mashona nguo osha, chemsha dk 10 kunywa ikiwa ya moto. Kunywa asubuhi na j8oni glasi moja moja. Utasahau hilo tatizo milele.

Nenda Youtube, peruzi zaidi faida za majani ya shona nguo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom