Dawa au chakula ipi ambayo inaleta nyege

Dah... We mkali, uhusiano wa genye na wallet??? :doh:

he he heee, hata kwa mkeo?
haki ya nani tutauana, lol!

Mwanaume anaye
dindadinda hovyo wakati hakuna ushirikiano kati ya ubongo na wallet ni wakumwogopa sana, huyo hana ugomvi wowote na adui umaskini.
Fixed Point kukuridhisha siyo shida ila binafsi ubongo wangu unakuwa haujarelax, ila if you insist kupewa dose hapa siyo ya kubeep ni available.
 
Last edited by a moderator:
Kwanza angalia aina ya vyakula anavyotumia. Epuka kumpa mumeo chakula chenye chorestero, pia kacheck sukari kma anayo. Kama wew una2mia vidonge au sindan za uzaz wa mpango pia huleta athari kwa mwanaume. Kuna dawa ni dawa lishe inaitwa Mangosteen ina madin 65 na vitamins12. Hyo itamalza tatzo. Ukihtaj niPM
 
Kunywa viroba, tafuna karanga mbichi robo kilo, viroba vya konyagi v3 tafadhali kisha omba game!
 
Kuna watu wanaroho MBAYA na inaelekea sura zao mbaya ndomana midomo yao mibaya!
Mtu linajiropokea tuu kama lichawi liloanguka kwenye paa la kanisa! Huna cha kujibu si upitishe kia lako kimyakimya!!!!!aaaaggghhh
jiwe gizani! Likikupata sema yalaaah kimya kimya!

back to Topic,
nadhani mkuu umeshapata points,pia na kumuandaa vema
nako muhimu.
 
Kuna watu wanaroho MBAYA na inaelekea sura zao mbaya ndomana midomo yao mibaya!
Mtu linajiropokea tuu kama lichawi liloanguka kwenye paa la kanisa! Huna cha kujibu si upitishe kia lako kimyakimya!!!!!aaaaggghhh
jiwe gizani! Likikupata sema yalaaah kimya kimya!
.

Streeeesssss!!!! ..... ndio maana hatuwadindishii alaf mnaanza kulalama jf.
 
Kwa kweli hii dunia ina mambo me sina mengi hapo naona wadau washafanya yao heheheheeeee daaaa hii mada angeileta MankaM ingezua mijadala isiyo ya lazima + kashfa juu
 
hiyo hali inatokea baada ya bao la kwanza?if yes nikawaida tu, wanaume wengi huchukua kati ya dk 20-40 na wengine hadi dakika 60, ili mashine iwe tayari kwa bao la pili and especially km wanatumia condom (inategemea pia na mood ya siku hiyo)!! kwa ushauri zaidi wa kitaalam, ni PM maelezo kamili ili nipate kukushauri vzr.
 
Back
Top Bottom