Dawa au chakula ipi ambayo inaleta nyege

Dawa au chakula ipi ambayo inaleta nyege

Kwahiyo ndounavyo mfanyiaga wakwako?
Anakutafuna marangapi baada ya dose?[/Q

Nakuambia viungo ni muhimu kama kitunguu saum,tangawiz,pilipili tumia uone utaniambia huko chini patakavyokuwa
 
Mkuu,Hii nondo haijakamilika
yawezekana mume wako anapiga pumbu,nyumba ndogo na akija kwako anakuwa ashajichokea yaan hata ukiamsha antena hainas
 
We mama amia kwangu upate burudani zote achana nae huyo:A S 39::A S 39:
 
Nauliza ni dawa ipi nitakayompa mume wangu au chakula kipi nimpe ili apate nyege za haraka.awe fit kitandani
Sawa hii ndogo sana lakini pia uwe na uwezo wa kuhimili bao kuanzia tano na zaidi, kuna mchanganyiko wa mboga fulani huwa zina patikana sana kule kwetu Arusha lakini hana maeneo mengine naamini zipo.
Kwa hili naomba mniite mchoyo kwa sababu sitakuwa tayari kuanika hapa hadharani itakuwa faidi na kwa wasio taka kujua, hivyo unaweza kuni pm nikakuambia.
 
mshauri aoe mwanamke anayemvutia

Dah yaani umetoa jibu zuri wewe,ningekujua ht inbox ningekutumia vocha ya buku 5 kwa jibu zuri na sahihi,mwanamme asie na nyege kwa mkewe mara nyingi hutokezea ni kuwa hamvutii tu ukiondosha maradhi km ya kisukari na presha,hiyo ndio sababu kubwa sana.
 
Hata hvyo mwambie atumie sana supu ya samaki wa baharini ikiwemo na supu ya pweza(mkuyyat)haraka sana atapata hamu tena kubwa na kazi itakuwa nzuri sana,aache kula sana ugali na bamia(mlenda) unadhoofisha mishipa ya nguvu,pia apende sana kutumia spice km vile mdalasini achanganye na asali,asipendelee mafuta ktk vyakula,maji baridi apunguze.
 
Hata hvyo mwambie atumie sana supu ya samaki wa baharini ikiwemo na supu ya pweza(mkuyyat)haraka sana atapata hamu tena kubwa na kazi itakuwa nzuri sana.
hiyo supu itamsaidia tu kama ana matatizo ya kiafya....
je kama hana tatizo la kiafya?
 
Muone Dr. Mzizi mkavu. Cc. Mzizimkavu, white girl.
 
Tatizo umeeleza juu juu mno...
Ila ushauri wa bure kuwa changudoa kwa mumeo...........
Namaanisha kimavazi mnapokuwa chumbani, mitego na uchokozi,
Usilale kama gogo na mnight dress wa ajabu ajabu...lala kimitego....
Mweeh hebu nsiongee zaid hapa ntapitiliza bure....
 
Dawa yake kubwa awe na pesa mfukoni, basiiiiiiiiiiiii, utaona Antena yake inasimama wima hiyo, na inakamata channel zote. lakini kama mfukoni apeche alolo, basiii na Antena yake inakuwa haishiki chanel yoyote.
 
Nauliza ni dawa ipi nitakayompa mume wangu au chakula kipi nimpe ili apate nyege za haraka.awe fit kitandani

Halafu usilazimishe tendo usiku tuu wengine kazi zao zina stress nyingi hivyo anachoka sana.
Jaribu kati kati ya usiku ama asubuhi mapema kabla hamjaelekea kwenye majukumu...ni safi sana na inafanya siku ianze vizuri....
Napita tu
 
Back
Top Bottom