nzalendo
Platinum Member
- May 26, 2009
- 12,901
- 14,611
asitumie pombe wala sigara wala kahawa wala chai
mpatie tangawizi kwa wingi,mpatie mdalasini uliochanganywa na asali.
Apate muda mwingi wa kupumzika.nusu saa kabla ya mechi anywe yai bichi(kuku wa kienyeji) mix na asali.
Kama kuna uwezekano asitumie vyakula vilivyokobolewa mfano.sembe.