Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,095
- 110,817
Umeua.
Mkuu, minaona umeua mpakuzika kabsaa....
Umeua.
yes, kama akiniona hata asisimki sasa kwa nini tuendelee kuwa pamoja?duh....amwache yeye aoe mwingine??!!!
Nauliza ni dawa ipi nitakayompa mume wangu au chakula kipi nimpe ili apate nyege za haraka.awe fit kitandani
samahani mkwe, sikuwa na nia ya kuua....Hahaha mkwe unaua nzi kwa AK47?
mshauri aoe mwanamke anayemvutia
yes, kama akiniona hata asisimki sasa kwa nini tuendelee kuwa pamoja?
huoni na huyu dada pia anateseka mpaka anakuja kuomba ushauri?
Narudia tena, kama mumewe ana matatizo ya kiafya basi awasiliane na wataalamu au apeleke uzi kule JF doctors ili apate ushauri unaohusu matatizo ya afya, lakini kama hana shida ya kiafya nini kinasababisha asiwe na ny**e anapokuwa na mkewe?
hii naichukulia kuwa ni ya muda mrefu ndo maana amekuja kuiombea ushauri
mshauri aoe mwanamke anayemvutia
ha haaa, umeona eeehhh!
haya mambo ya kuleta nyuzi zenye maelezo nusu nusu unaishiwa kupata ushauri kama wa kwa mganga wa kienyeji. angesema kuwa mumewe ana matatizo ya afya. mimi siyo mwanaume, lakini najua kwa maelezo ya wanaume kuwa akiwa na mwanamke ambaye hamvutii anapata shida sana kusimamisha antena
hiyo hali inatokea baada
ya bao la kwanza?if yes nikawaida tu, wanaume wengi huchukua kati ya dk
20-40 na wengine hadi dakika 60, ili mashine iwe tayari kwa bao la pili
and especially km wanatumia condom (inategemea pia na mood ya siku
hiyo)!! kwa ushauri zaidi wa kitaalam, ni PM maelezo kamili ili nipate
kukushauri vzr.
hivi kweli kuna haja ya kuishi na mtu ambaye havutiwi na wewe?OK...kwahio hii ingetokea kwako ungeomba talaka?[suppose hana matatizo]
sorry kakangu, sikuwa na nia ya kuharibuhahahhhhahahaaaa... wewe ndo umeharibu kabisa dadaangu....
Nauliza ni dawa ipi nitakayompa mume wangu au chakula kipi nimpe ili apate nyege za haraka.awe fit kitandani
Kwahiyo ndounavyo mfanyiaga wakwako?
Anakutafuna marangapi baada ya dose?
Sium PM wewe!!??
Mmmh sie hufanya kwa afya mara 4 au mara 3,yaan usiku mara mbil na mara moja asubuh cha kuamkia,ukiinizidishia unakuwa umenioverdose
Maelezo ya kina yanahitajika hapa, je ni ya kupepea? Au umri wake ni miaka mingapi? Si vibaya ukitueleza na medical back ground yake labda ana maradhi yanamsumbuwa.
Mimi binafsi nyege zangu zina ushirikiano mkubwa sana na wallet, kama wallet liko chali hiyo papuchi sina hata hamu ya kuiona.
Mmmh sie hufanya kwa afya mara 4 au mara 3,yaan usiku mara mbil na mara moja asubuh cha kuamkia,ukiinizidishia unakuwa umenioverdose