Davido aendelea kuachia hits , nyingine hii mpya

Davido aendelea kuachia hits , nyingine hii mpya

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,393
Siku chache zilizopita Davido aliachia ngoma kali inayoitwa FIA
Leo tena mkali huyo wa africa ameachia ngoma nyingine kali inaitwa LIKE DAT
Davido mwaka huu tayari ameachia ngoma 6 , huku akiendelea kutamba .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom