it is in the public domain, kwani wewe haujui, unaishi dunia gani?.,Umejuaje kama wanapata faida au hasara?
Una maanisha umeamua kuchagua zipi kuziamini na zipi kutoziamini sio? Kwa kutumia tu utashi wako, huna ushahidi wala huwezi kuthibitisha chochote zaidi ya kusema umesikia, ipo kwenye public domain n.k?it is in the public domain, kwani wewe haujui, unaishi dunia gani?.,
I don't argue baselessly, wacha kujitia hamnazo, ata mtoto mdogo anajua ATCL haijawahi kutengeneza faida, stop reasoning like an idiot!., na pia imani iko anchored on a truth sio kwa uvumi, ama kusikia tu what is not there. Zoea ukweli, ata kama inakera.Una maanisha umeamua kuchagua zipi kuziamini na zipi kutoziamini sio? Kwa kutumia tu utashi wako, huna ushahidi wala huwezi kuthibitisha chochote zaidi ya kusema umesikia, ipo kwenye public domain n.k?
Hata hivyo usijali sana, imani huanza kwa kusikia!
Ume-panic bossI don't argue baselessly, wacha kujitia hamnazo, ata mtoto mdogo anajua ATCL haijawahi kutengeneza faida, stop reasoning like an idiot!., na pia imani iko anchored on a truth sio kwa uvumi, ama kusikia tu what is not there. Zoea ukweli, ata kama inakera.
Mtu amehukumiwa jela miaka 200 kwa kusababisha hasara ya shilingi Ml30, ameshindwa kulipa faini ya shilingi Ml52 halafu unakazia hukumu kwamba arejeshe kiasi cha shilingi Ml30. mhusika ana umri wa miaka kama 50+ atawezaje kulipa baada ya miaka 200 ambapo huenda dunia itakuwa imeshatekezwa kwa moto kutokana na dhuluma na dhambi?Dunia haina usawaView attachment 1900346
Some one causing a loss of bilions is sentenced to pay 8m or face a jail term of 5 yrs. Early this year at Musoma disrict court, a school building commetee member who stole materials worth 2m was sentenced to pay 2.45m or face 5 yrs behind bars! In short swindle as much as you can, bribe the chain of bribery and you walk free.This is the second time am putting this thread here, mods why pull it down, it is in the public domain, the headline of today's paper. Let people react and discuss on it, freedom!
Too badSome one causing a loss of bilions is sentenced to pay 8m or face a jail term of 5 yrs. Early this year at Musoma disrict court, a school building commetee member who stole materials worth 2m was sentenced to pay 2.45m or face 5 yrs behind bars! In short swindle as much as you can, bribe the chain of bribery and you walk free.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Umeulizwa swali very technical but umejibu kikenya kenyait is in the public domain, kwani wewe haujui, unaishi dunia gani?.,
Wacha upumbavu wewe huyu jamaa anapaswa kufungwa kama miaka 10 alikuwa mwizi pale ATCL! labda una undugu naye kumtetea kumbuka hata uniform za Air hostess alienda kushonesha China! Huyu ndo alituingiza mkenge wa ku-procure ndege ya ATCL kwa mradi wa kisenge sasa hivi deni linakaribia tshs 200 bln na ikashindwa kufanya kazi! Tena hakufuata hata ushauri!CCM must be held responsible kwa kukimbilia biashara ya ndege kujaribu kushindana na Kenya, hakuna CEO yeyote ambaye angefanya muujiza ATCL ipate faida, haitatokea hivi karibuni, Magufuli kapiga hewa ngumi! Sasa they are throwing these guys under the bus!
Kama eti pia wali forge a summary of a session, ilibidi kufurahisha mkulu, serikali ilidanganya taifa eti ndege zina tengeneza faida kumbe wapi., since the launch of the white elephant it is merely eating public taxes, mama Samia amegeuza ndege moja kama yake rasmi, passengers are facing delays and missing flights, kuna malalamishi kibao, idiocy on steroids!! Ujinga na upumbavu kuchanganywa.
Wacha upumbavu wewe huyu jamaa anapaswa kufungwa kama miaka 10 alikuwa mwizi pale ATCL! labda una undugu naye kumtetea kumbuka hata uniform za Air hostess alienda kushonesha China! Huyu ndo alituingiza mkenge wa ku-procure ndege ya ATCL kwa mradi wa kisenge sasa hivi deni linakaribia tshs 200 bln na ikashindwa kufanya kazi! Tena hakufuata hata ushauri!
Huyu Ndalilo atakuwa na undugu na huyu mwizi Mataka!Deni ni zaidi ya Tsh. Bil 470.