Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,043
- 3,490
Huelewi chochote kuhusu sheria kwahiyo usinifundishe chochote hapa.Tumia akili.
Ishu sio kuiba ishu ni umeibaje.
Apply commonsense ya kawaida tu
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo kuna aina ya wizi ina ahueni? Kitendo cha wizi wa shilingi bilioni nane inatofauti gani na wizi wa simu au kitarakishi mpakato chenye thamani ya shilingi laki tatu/milioni mbili?
Wizi ni wizi tu maana unagusa dhamira ovu ya kuchukua mali ya mtu mwingine, yenye thamani, inayoweza kuhamishika na kuondoka nayo moja kwa moja pasipo kuwa na nia ya kurejesha kwa mmiliki wake (Uthibitisho wa NIA na DHAMIRA OVU) kuna fanya kosa kuwa sawa sio kama unavyotaka kuaminisha watu kwamba njia iliyotumika ilikuwa na sura gani!!!