David Mataka kizimbani

Wamewaacha wakatafuna shirka letu la ndege hadi karibia kufilisika sasa leo ndio tunadanganywa na kesi za Kisutu?
Huu nao ni usanii mwingine! Hivi ulisikia wapi postmorterm ikamrejesha marehemu?

Ili kukomesha madudu haya ni kuazima sera za Mchina tu.
 
Hii thread inanichanganya, kwani kuna uhusiano gani kati ya Matak, Masaburi, Kameruni, ATCL, na Defao?:lol:
 
MKURUGENZI WA ZAMANI WA SHIRIKA LA NDEGE TANZANIA (ATCL),DAVID MATAKA LEO ASUBUHI AMEFIKISHWA KATIKA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU JIJINI DAR ES SALAAM.

MBELE YA HAKIMU TARIMO AKIKABILIWA NA MASHTAKA MATATU LIKIWEMO LA KUSHINDWA KUTOA TAARIFA SAHIHI KUHUSU MATUMIZI YA VITU MBALI MBALI VYA SHIRIKA HILO.

Source; Michuzi blog
Kwa kosa gani tena?? si huyu mtu Sumaye hakumtaka kabisa lakini alipokuja Baba riz1 na roho yake ya kisasi bila kujari maslahi ya Taifa akaona amjibu sumaye kwa kumpatia kazi Mataka. Kweli maamuzi ya Baba riz1 ni janga la Taifa
 
Wamewaacha wakatafuna shirka letu la ndege hadi karibia kufilisika sasa leo ndio tunadanganywa na kesi za Kisutu?
Huu nao ni usanii mwingine! Hivi ulisikia wapi postmorterm ikamrejesha marehemu?
Hili ni changa la macho linaandaliwa
 
Nilimshangaa sana wakati anastaafu kazi ya Ukurugenzi Shirika la Ndege, aliitisha press conference na kujitapa kuwa anastaafu huku akifanikisha Shirika hilo kuwa na nembo yake mpya. Sasa hiyo nembo bila ndege sijui itasaidia nini. TANZANIA YETU
 
_matakaa.jpg

Mkurugenzi Mkuu wa Zamani wa ATCL amepandishwa Kizimbani leo katika Mahakama ya Kisutu kwa makosa matatu iliwemo kushindwa kutoa taarifa sahihi kuhusu matumizi ya mali za shirika hilo.

http://issamichuzi.blogspot.com/2011/11/breaking-nyuzzzzzz-mkurugenzi-wa-zamani.html
 
MKURUGENZI WA ZAMANI WA SHIRIKA LA NDEGE TANZANIA (ATCL),DAVID MATAKA LEO ASUBUHI AMEFIKISHWA KATIKA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU JIJINI DAR ES SALAAM.

MBELE YA HAKIMU TARIMO AKIKABILIWA NA MASHTAKA MATATU LIKIWEMO LA KUSHINDWA KUTOA TAARIFA SAHIHI KUHUSU MATUMIZI YA VITU MBALI MBALI VYA SHIRIKA HILO.

Source; Michuzi blog

Political theatre in action, Mramba, Mgonja, Liyumba, Mahalu, Mataka < ROSTAM + LOWASA + CHENGE. Tunataka hawa wapandishwe wajibu tuhuma zao, siyo kuonea watu waliokuwa wanafanya kazi kwa vimemo, tunawataka watoa vimemo sasa.
 
too late wakati wakifmikisha a kutoka kwa dhaman ya million 20 ..serikali imepanga kulipa kampuni iliokodishwa na atcl ya airbus sh billion 22 kwa kuwekeza deni lake wakati ndege aipo, katika malipo yaliokuwa yakilipwa kwa mwekezaji huyo wa atcl doller 360,000 alikuwa akpokea doller 260 ,000 kwa mwezi na zingine zilikuwa zikiingizwa katika account ya wakubwa watano wa ATCL,na wengine wizaraba mpaka mwekezaji alipogoma kutoa kiasi hicho na hazina wakasimamisha kuendelea kumlipa kwa upumbavu bila kujua alishasaini mkataba naoPamoja na hayo nasema too late maana katika mgao huo wa billion 22 wamo DAVID MATTAKA/baadhi ya Viongozi wa ATCL na aliekuwa mmoja wa mawaziiri wa mbiundo mbinu pamoja na katibu mmoja ambae anaendelea na cheo chake..hii nchi ishaoza watu kama hawa china wanakata shingo wanaita ndugu waje kuangalia wakati akitoa macho na hata mwili uwapi...nchi chafu kabisa PAN AFRICan WANAIBA BILLION 78 ALAFU WANASEMA WATAZIRUDISHA ZILICHUKULIWA KIMAKOSA UHANITHI MTUPU
 
Back
Top Bottom