Madeleka: Nipo Kisutu Mahakamani, Polisi wanataka kunikamata. Naomba msaada

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,309
Reaction score
18,490
Wakili Peter Madeleka amedai kukabiliwa na hatari ya kukamatwa na Jeshi la Polisi, akiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam ambapo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X ametuma ujumbe wa tahadhari akiomba msaada wa haraka kufuatia hali hiyo.

Katika andiko lake ambalo limeibua mijadala mtandaoni, ameandika: "Nipo KISUTU MAHAKAMANI. NATAKA KUKAMATWA na POLISI. Naomba MSAADA."

1790154622233.png

Soma pia
 
unaomba msaada gani,
be specific magereka?

na kua mkweli,
umefanya nini?

kubali kukamatwa bila shuruti, tunakuja kukusaidia ukiwa huko watakakokupeleka, sawa?🐒
 
Wakili Peter Madeleka amedai kukabiliwa na hatari ya kukamatwa na Jeshi la Polisi, akiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam ambapo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X ametuma ujumbe wa tahadhari akiomba msaada wa haraka kufuatia hali hiyo.

Katika andiko lake ambalo limeibua mijadala mtandaoni, ameandika: "Nipo KISUTU MAHAKAMANI. NATAKA KUKAMATWA na POLISI. Naomba MSAADA."

Soma pia
Hivi madeleka anatuonaje...madeleka mbona kitengo miaka mingi!
 
Back
Top Bottom