David Mataka kizimbani

Too late ametoka kwa dhamana ya sh million 20 ,,nasema wamechelewa maana keshokutwa serikali imeshaanda cheki ya billion 22.4 kwa walioikodisha atcl ndege ya airbus kwa kukatisha makataba na cheki iko mezani kusainiwa.

Katika hayo malipo ya ndege doller 360,000 kwa mwezi bw mattaka na wenzake 5 na katibu mkuu chambo na kamishna mmoja walikuwa wakigaiwa doller 100,000 huku doller 260,OOO zikienda kwa mwenyewe,,na kilichofanya hata serikali kuacha kuwalipa bila kujua walishasaini ujinga wao ni pale mwenye ndege alipogoma kuendelea kutoa hizo hela na kudai nyingi akaomba wakae chini kudiscuss upya..

Leo mmiliki wa airbus anaenda kupata billion 22 na naamini kama mkataba wake na mattaka lazima awe na si chini ya sh billion 1 ya ahsante cheki iko mezani jamani ntawawekea gazeti hapa kesho nchi ishaliwa hii mkikaa kujadili dowans wakati hela zimeshalipwa hii ndio Tanzania
 
Mataka alipata promo ya hali ya juu na clouds fm siku anachukua hicho kibarua na alijigamba sana mpaka nikaona huyu ndiye mwokozi kumbe hana chochote, hizi elimu zetu sijui magraduate wengi wa mlimani wanaharibu nchi.
 
too late wakati wakifmikisha a kutoka kwa dhaman ya million 20 ..serikali imepanga kulipa kampuni iliokodishwa na atcl ya airbus sh billion 22 kwa kuwekeza deni lake wakati ndege aipo, katika malipo yaliokuwa yakilipwa kwa mwekezaji huyo wa atcl doller 360,000 alikuwa akpokea doller 260 ,000 kwa mwezi na zingine zilikuwa zikiingizwa katika account ya wakubwa watano wa ATCL,na wengine wizaraba mpaka mwekezaji alipogoma kutoa kiasi hicho na hazina wakasimamisha kuendelea kumlipa kwa upumbavu bila kujua alishasaini mkataba naoPamoja na hayo nasema too late maana katika mgao huo wa billion 22 wamo DAVID MATTAKA/baadhi ya Viongozi wa ATCL na aliekuwa mmoja wa mawaziiri wa mbiundo mbinu pamoja na katibu mmoja ambae anaendelea na cheo chake..hii nchi ishaoza watu kama hawa china wanakata shingo wanaita ndugu waje kuangalia wakati akitoa macho na hata mwili uwapi...nchi chafu kabisa PAN AFRICan WANAIBA BILLION 78 ALAFU WANASEMA WATAZIRUDISHA ZILICHUKULIWA KIMAKOSA UHANITHI MTUPU
.................. kabisaaaa !
 
Mi nasema hii nchi tunaongozwa na waseng kuanzia rais mpaka vibaraka zake wa ccm PUMBAFUUUUUUU KABISAAAAAAAAAAAAAAAAANGALIA KUNA ******* MMOJA ANATUMIWA NA MTOOTO WA RAIS KACHUKU FLOOR NZIMA PALE ATCL UKIMWONA UNAWEZA HISI ANA FEDHA KUMBE...AMEFIKIA HATA GARI ZAKE AWEKI BIMA WALA AKATI TRA NAFIKIRI ...NAKWAMBIA HAWA MBWA UNAWAKAMATA UNANYONYA MAFUA MPAKA YANASEMA BASI UNPITISHA KWENYE MASHINE NA UNAHAKIKISHA AKIKATWA SHINGO HATA KAUPANDE KASISHIKANE KAKIANGUKA MAGARIBI MWILI UKO KUSINI
 
Mkuu umeongea kwa uchungu sana, huyu Mataka ndie yule ambae wakati ule alishindwa kuendesha PPF na alituhumiwa kwa Ubadhirifu Mkubwa pale, eti baada ya siku chache ameteuliwa CEO ATCL!!!. Zafafana hakika!! TOO Late!
 
mkuu umeongea kwa uchungu sana, huyu mataka ndie yule ambae wakati ule alishindwa kuendesha ppf na alituhumiwa kwa ubadhirifu mkubwa pale, eti baada ya siku chache ameteuliwa ceo atcl!!!. Zafafana hakika!! Too late!
mbaya zaidi anahama analeta na gashara lake limuendeshe bila interview aliposhtukiwa sijui alihamishwa wapi,..msikubali kukaa na dizaini hizi mnaingiza mapepo kwenye ajira zenu
 
Siku moja yule kilaza kibonde alimsifia sana mattaka kwamba amefanya kazi na mamake na amefanya mambo makubwa npf na atcl sijui ataweka wap uso wake mzee wa kujipendekeza
 
soma huyu ******* aliekuwa akila hela za ATCL KAMA MKIAMBIWA MNA AKILI ZA ****** MTAKATAA MTU KAKAA TU NJE ANAPELEKEWA MSHAHARA HANA ADABU KABISADear All,First of all I would like to introduce myself, I willbe your Resident CustomerSupport Manager on site for your Airline, my name isRicardo M. Galhardo.Please be advise that this email is the Air Tanzaniamail account for you to provideme with all issues that you might have day by day,this mail box is open 24/7, forthe time been I have only one contact that is at yourdisposal also 24/7 and is hasfollows: +351 969025814.Please be free to contact me if you have any issue anyquery at all.If you would be so kind to provide the email accountand mobile to any persons inthe company if needed for any issue concerning Airbus.For the time been this is all that I can say, it willbe very gratifying for me tosee and meet everybody personally when I arrive inTanzania.Thanks for your understanding and comprehension,Best regards,Ricardo GalhardoResident Customer Support Manager
 
Serikali ipitishe auditing waeleze huyu mshenzi alikuwa akilpwa kama na nani na pesa zinatoka wapi kabla ya kuja kuwawekea slip yake hapa
 
Watueleze yale magari walioagiza 26 kwa ajili ya atcl yakatolewa 8 tu yaliobaki yako wapi na yanafanya nini upuuzi huu ..na waje pwc waangalie used shangingi kweli ni sawa na bei mpya ???mi nasema huyu kikwete ndie amefikisha hapa hii nchi kama angeweka ndani kadhaa na kuwasahaau nakwambia tusingekuwa na wahuni kadhaaa kama wakina jairo wangejua kinachofwata ni kuvuliwa nguo na kuchapwa bakora
 
too late wakati wakifmikisha a kutoka kwa dhaman ya million 20 ..serikali imepanga kulipa kampuni iliokodishwa na atcl ya airbus sh billion 22 kwa kuwekeza deni lake wakati ndege aipo, katika malipo yaliokuwa yakilipwa kwa mwekezaji huyo wa atcl doller 360,000 alikuwa akpokea doller 260 ,000 kwa mwezi na zingine zilikuwa zikiingizwa katika account ya wakubwa watano wa ATCL,na wengine wizaraba mpaka mwekezaji alipogoma kutoa kiasi hicho na hazina wakasimamisha kuendelea kumlipa kwa upumbavu bila kujua alishasaini mkataba naoPamoja na hayo nasema too late maana katika mgao huo wa billion 22 wamo DAVID MATTAKA/baadhi ya Viongozi wa ATCL na aliekuwa mmoja wa mawaziiri wa mbiundo mbinu pamoja na katibu mmoja ambae anaendelea na cheo chake..hii nchi ishaoza watu kama hawa china wanakata shingo wanaita ndugu waje kuangalia wakati akitoa macho na hata mwili uwapi...nchi chafu kabisa PAN AFRICan WANAIBA BILLION 78 ALAFU WANASEMA WATAZIRUDISHA ZILICHUKULIWA KIMAKOSA UHANITHI MTUPU

Yeah,yaani kuna mambo mengi sana yanayo endelea chini ya kapeti ktk nchi hii hatuyajui,watanzania wenzetu ndio wanaotuumiza na kuna jamaa wa atcl aliwahi kuelezea haya mambo hapa jf na watu tulimdharau na kumkejeli,

lakini inauma na tunaumizwa sana
 
Mataka alipata promo ya hali ya juu na clouds fm siku anachukua hicho kibarua na alijigamba sana mpaka nikaona huyu ndiye mwokozi kumbe hana chochote, hizi elimu zetu sijui magraduate wengi wa mlimani wanaharibu nchi.
Usanii mtupu nchi yetu imekwisha, ndio maana tunahitaji kataiba mpya makini itakayo wabana majambazi hawa aina ya Mataka wako wengi serikalini!!!!!!!. Katiba itakayo kuwa na uwezo wa kupeleka watu lupango sio lelemama, hawa watu hawaogopi maana vyombo vyote vya dola ni mali yao!!!!!!!!!! Tunahitaji mabadiliko nchi iwe na heshima na maadili, watu waiogope serikali bila kujali yeye ni nani, na Raisi aogope katiba ya nchi, non will be above the law!!!!!!!!!!

Huyu jamaa ni mshenzi sana baada ya kustafu aliulizwa ni mafanikio gani anayojivunia akadani anajivunia kuweka logo mpya ya ATCL nyambafu
 
Siku moja yule kilaza kibonde alimsifia sana mattaka kwamba amefanya kazi na mamake na amefanya mambo makubwa npf na atcl sijui ataweka wap uso wake mzee wa kujipendekeza

kilaza kibonde alikua anajipendekeza kwa MATAKA kusudi amfikirie japo kidogo km kuna nafasi apachikwe,kibonde ni bonge la kilaza.
 
Back
Top Bottom