David Mataka kizimbani

David Mataka kizimbani

Nikiona mambo haya ndio huwa nasema heko Kikwete, mwenye macho haambiwi tazama.
 
Huyu faiz fox mzima kweli? Anampongeza jk kwa lipi? Au nae s._.¤a atueleze wana jf tumuelekeze kwa cameroun
 
...Watu wa hivi wako makini sana kwenye familia zao mkuu besides familia ndo beneficiaries wa kwanza wa ufisadi wao.....

Not necessarilyl Sir!
Sometimes nyumba ndogo ndo zinafanya watu wanakuwa mafisadi, na nyumba ndogo is not part of the family, for it is illegitimate.
Tuchunguze zaidi, huenda ufisadi wa Mattaka unatokana na sababu zilizo nje ya familia yake

Hata huyu mteule wa rais?

..Alikuwa mteule wa raisi, hadi alipostaafu hivi karibuni. Kimsingi, tangu kaingia na kutoka ATCL hakujakuwa na mabadiliko yoyte makubwa. Shirika li hoi
 
Mnamsingizia dobi tu kumbe kaniki ndio rangi yake. Kila shirika alilokaa aliliua una facts na hii hoja? PPF ipo! Hivi Matakka ndio aliliuza shirika kwa Makaburu? Hivi manakumbuka wakati analichukua shirika lilikuwa katika hali gani?

Na ameliacha kwenye hali gani? Kisutu anaenda kutafuta nini sasa?
 
Nikiona mambo haya ndio huwa nasema heko Kikwete, mwenye macho haambiwi tazama.

Kweli ukipenda chongo waweza ita ni kengeza! nani aliyemteua mtu ambaye sifa, uwezo na tabia zake ziko wazi kwamba ilikuwa ngumu kutoa suluhisho la matatizo yaliyokuwepo ATCL?
Na hili la Mataka, its just a tip of iceberg....FF, time will tell and hope we would all be around to witness things that we thought were secret when they would be coming out!!!!! Hii ni moja tu ya madudu mengi tunayoyafanya leo ndani ya nchi yetu.
 
mataka ni mhusika mkuu wa hii tread ,masaburi humu ni makal..., na cameroun alitaka kuhalalisha ushoga, na defao alipitiwa na huyu mataka na atcl shirika alilofilisi kwa kuwazia masaburi

HUYU UONE SURA YAKE ILIVYOKAA:

zero
Comments
→ November 22, 2011 → Tags: Breaking News, Uncategorized →

Mataka.jpg
Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa Shirika la Ndege Tanzania(ATCL),David Mataka akitoka katika chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo ambapo alisomewa jumla ya mashitaka matatu likiwemo la kushindwa kutoa taarifa sahihi za matumizi ya vitu mbalimbali vya shirika hilo.
Bw.Mataka ameachiwa kwa Dhamana ya Sh. Mil.20 kutoka kwa wadhamini wawili tofauti ambao kila mmoja amemdhamini kwa sh.Mil. 10.
Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa Shirika la Ndege Tanzania(ATCL),David Mataka akisindikizwa na askari Polisi wakati akitoka kwenye chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo alikosomewa mashtaka matatu likiwemo la kushindwa kutoa taarifa sahihi za matumizi ya vitu mbalimbali vya shirika hilo.
Picha na Francis Dande
Be Sociable, Share!

Read more: DAVID MATAKA MATATANI! - BongoCelebrity
 
hivi kwanini wenye majina ya daudi wana matatizo sana daudi balali na daudi camerun..
 
hii jamani mbona huu jamaa alipewa kufufua ATCL kama alikuwa na record mbaya ya ubadhirifu huko PPF? Ina maana hatuna wataalamu wengine wa kuendesha mashirka yetu mpaka awekwe mwenye record mbaya za ufujaji. Naapa hii nchi piga ua hatukaa tuendelee. Hii rushwa ya Patronage ni hatari. ona sasa tunataka kuendeleza ATCL pesa za UMMA zimefujwa tutaweza kweli au tunataka kuwapa watu wenye Nazo tayari kuendelea kuishi maisha ya Anasa kwa pesa ya watanzaGIZA huku wengine tukiishi kama hayawani? Mwl Nyerere RIP babaangu uliona mbali na ndio maana siku zote tunatumia semi zako kujikosoa.
 
Natamani siku moja ERIO wa PPF, Mmari, na Hosea Kashimba wakitoka kama huyu Mattaka. Erio alipindisha taratibu za PPF na kuwalipa wakurugenzi wake sita Tshs 1.2bilion na yeye kwa mwanya uleule akavuta Tshs 540Milioni.

Mbona wanamuonea Mattaka wakati aliyoyafanya PPF ndiyo Erio na wenzake wanafanya?

Ili kuzidi kuiba wamemfukuza Mhasibu mkuu. PCCB na Usalama wa Taifa kama mnataka kuwakamata walivyoiba mtumieni huyu Mhasibu Mkuu wa PPF 2008 ana data za ubadhilifu mkubwa.

Mattaka akiwa PPF alikuwa mwizi na Mzinzi na mkamerouni pia, mbaya zaidi alikuwa anawanyia baadhi ya wafanyakazi wanaume ofisini.

Erio William Mkapa naye karithi tabia ya UIZI na Uzinzi. Bado hatujasikia kama naye ni mtaalamu UDAVIDI ie ukameruni, naye huwafanyia ofisini wadada -eg Pricila Kiiza na Mlinzi wa mlangoni kwake aliyekuwa anaitwa mary, ofisi ina bafu ndani aliloliandaa David Mattaka.

HUYU UONE SURA YAKE ILIVYOKAA:

zero
Comments
→ November 22, 2011 → Tags: Breaking News, Uncategorized →

Mataka.jpg
Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa Shirika la Ndege Tanzania(ATCL),David Mataka akitoka katika chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo ambapo alisomewa jumla ya mashitaka matatu likiwemo la kushindwa kutoa taarifa sahihi za matumizi ya vitu mbalimbali vya shirika hilo.
Bw.Mataka ameachiwa kwa Dhamana ya Sh. Mil.20 kutoka kwa wadhamini wawili tofauti ambao kila mmoja amemdhamini kwa sh.Mil. 10.
Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa Shirika la Ndege Tanzania(ATCL),David Mataka akisindikizwa na askari Polisi wakati akitoka kwenye chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo alikosomewa mashtaka matatu likiwemo la kushindwa kutoa taarifa sahihi za matumizi ya vitu mbalimbali vya shirika hilo.
Picha na Francis Dande
Be Sociable, Share!

Read more: DAVID MATAKA MATATANI! - BongoCelebrity
 
Tukianza kuchangia kuhusu PPF hapa na hii thread itakuwa haifunguki. Mjadilini David mattak.......o peke yake.

Erio ni mteule wa Moderator, akiguswa tu, thread haisomeki.

Yote katika yote ni suala la wakati, ipo siku japo sio nyingi, hao uliowataja watamfuata Mattaka. Erio ana kinga mbili, moja ni ya mjomba wake Rais mstaafu Mkapa, na ya pili ni matumizi ya pesa kumwaga kila palipo na dalili za ufa. Ila ajue simtank utaliziba kwa vilaka hadi lini?

Nawahi kuwalipa wastaafu vijicoin vyao.

Natamani siku moja ERIO wa PPF, Mmari, na Hosea Kashimba wakitoka kama huyu Mattaka. Erio alipindisha taratibu za PPF na kuwalipa wakurugenzi wake sita Tshs 1.2bilion na yeye kwa mwanya uleule akavuta Tshs 540Milioni.

Mbona wanamuonea Mattaka wakati aliyoyafanya PPF ndiyo Erio na wenzake wanafanya?

Ili kuzidi kuiba wamemfukuza Mhasibu mkuu. PCCB na Usalama wa Taifa kama mnataka kuwakamata walivyoiba mtumieni huyu Mhasibu Mkuu wa PPF 2008 ana data za ubadhilifu mkubwa.

Mattaka akiwa PPF alikuwa mwizi na Mzinzi na mkamerouni pia, mbaya zaidi alikuwa anawanyia baadhi ya wafanyakazi wanaume ofisini.

Erio William Mkapa naye karithi tabia ya UIZI na Uzinzi. Bado hatujasikia kama naye ni mtaalamu UDAVIDI ie ukameruni, naye huwafanyia ofisini wadada -eg Pricila Kiiza na Mlinzi wa mlangoni kwake aliyekuwa anaitwa mary, ofisi ina bafu ndani aliloliandaa David Mattaka.
 
amuulize yaliyompata defao kwa david mataka, alishindwa hata kurejea kwao kwa wakati, (the david cameron!!)
Hatimaye Defao kafariki akiwa Cameroun baada ya shughuli zake, Mataka hatomsahau
 
Back
Top Bottom