tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 501
Kuna tetesi ambazo zinaenea ingawa bado hazijawekwa wazi kuwa mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila anaweza kuwa miongoni mwa watu watakaopata tuzo ya Nobel katikati mwakani,Kafulila ambae ameonekana na kujulikana hasa kulishikilia kidedea upotevu wa pesa katika sakata la wizi wa zaidi ya bilion200 katika sakata la ESCROW ameonesha ujasiri kupambana na jambo hilo hatari kwa manufaa ya watanzania masikini.
Mpaka sasa wahisani wamesitisha misaada ya thamani ya matrilion kwa Tanzania mpaka taalifa ya CAG itakapo toka kwa mujibu wa mfadhili wa wahisani hao balozi wa finland nchini.
Hongera Kafulila jitaidi uikwae tuzo hii kwani si mchezo.