Cc: kinana et al.
Kafulila ndiye yule uliyemwita sisimizi? Imekuwaje tena sauti ya sisimizi aliyekanyagwa na tembo isikike dunia nzima? Muwe mnatafakari na kufikiri kabla hujamtukana mwingine kwani matokeo yake inakuwa aibu yako. Hiki kiburi cha wizi na ufisadi hadi unajiona bora kuliko wengine kitawaumbua wengi kabla ya uchaguzi mkuu. Binafsi huwadharau kupita kiasi wale wote wenye kiburi cha pesa na madaraka kuwanyanyasa wengine.
Sikia wengine walivyoropoka, "nitamkata kafulila kichwa chake". AG anaongea live na mteuzi wake anamwacha tu bila kuchukua hatua! Kumbe aliujua usisimizi wa huyu shujaa, Kafulila. Kwa ufupi tu ni kuwa, ''Kafulila ni sisimizi anayewatesa tembo kwani sasa hawanywi maji'.