David Kafulila kuikwaa tuzo ya Nobel

David Kafulila kuikwaa tuzo ya Nobel

Ila kale ka tuzo si lelemama aisee,,yani hata nominee,,nitakataa aisee.
 
ni ujasiri katika kuamua au kutetea jambo lenye manufaa kwa walio wengi tena jambo lenye hatari
...........Kuna tetesi pia kwamba CCM wataikwaa tuzo ya Nobel mwakani kutokana na ujasiri wao na uhodari wa kutetea wezi na mafisadi wa Escrow. Tusubirie tuone kama ni kweli ila waongeze bidii zaidi kama chama wasije kuikosa kama Chama akaipata Rais peke yake kwa kusimamia zoezi hilo kikamilifu ndani ya CCM.
 
Ila kale ka tuzo si lelemama aisee,,yani hata nominee,,nitakataa aisee.
Afrika yote tangu inaumbwa wamepata watu 22 tu katika category ya Chemistry,Literature and peace. Hili la Kafulila sijua itakuwa category gani, ila kama atapewa Nobel basi itakuwa ya dinner set,kabati la nguo,vijiko na sahani na mgeni Rasmi atakuwa tamimusalim ndani ya ofisini ya IPTL
 
Last edited by a moderator:
tuzo hiyo hutolewa kwa mtu ambaye amejitolea uhai wake kutetea rasilimali za umma, na hiyo sifa kafulila anayo. wewe unadhani ni nani anastahili kupata hiyo tuzo? je, ni chenge, 6 au werema?

Ngoja tusubiru, atamtaja MAKONDA!
 
hiyo tuzo inatolewa kwa vigezo vipi?
yaani ili mtu atunukiwe anatakiwa awe na sifa zipi?

Nikikumbuka vile vitisho vya Mwanasheria Mkuu Jaji Fredrick Werema alipomtamkia David Kafulila kuwa atamkata kichwa kumaanisha madai ya Kafulila ni ya uongo, anastahili tuzo hiyo. Anao ujasiri
 
nikikumbuka mhongo alivyojibu kisiasa siasa bungeni lloooob
 
Afrika yote tangu inaumbwa wamepata watu 22 tu katika category ya Chemistry,Literature and peace. Hili la Kafulila sijua itakuwa category gani, ila kama atapewa Nobel basi itakuwa ya dinner set,kabati la nguo,vijiko na sahani na mgeni Rasmi atakuwa tamimusalim ndani ya ofisini ya IPTL
hebu fikiri kidogo basi na uwe na staha, busara na hekima kwenye majibu yako!. Kafulila amethubutu na maisha yake kayaweka rehani kwa ajili ya watu wote wa nchi hii. Ulikuwa unajua kuwa umeibiwa kiasi hicho cha pesa? Ulichukua hatua gani? Acha wivu wa kimaskini. Na kama Afrika walishapata watu 22, kuna shida gani Kafulila akiwa wa 23?. Anastahili hiyo tuzo kwani amehatarisha maisha yake ili wengi wetu tupate nafuu ya maisha. Na ninyi mnaowatetea wezi humu hamuwatendei haki ndugu zenu wanaotaabika na kupoteza maisha kwa kukosa huduma muhimu kama madawa kwenye mahospitali yetu. Wewe ambaye shida hii haijakutembelea namwomba mungu akuonjeshe japo kidogo tu uusikie utamu wa wizi na ufisadi.
 
Last edited by a moderator:
Kuna yule KATIBU MKUU wa kile chama aliwahi kumuita Kafulila ni SISIMIZI. Akisikia hizi habari presha inaweza kupanda ghafla, bora msiyaongee.... mambo mengine siyo poa kuyaleta hapa kwani yanahatarisha afya za watu.
 
hebu fikiri kidogo basi na uwe na staha, busara na hekima kwenye majibu yako!. Kafulila amethubutu na maisha yake kayaweka rehani kwa ajili ya watu wote wa nchi hii. Ulikuwa unajua kuwa umeibiwa kiasi hicho cha pesa? Ulichukua hatua gani? Acha wivu wa kimaskini. Na kama Afrika walishapata watu 22, kuna shida gani Kafulila akiwa wa 23?. Anastahili hiyo tuzo kwani amehatarisha maisha yake ili wengi wetu tupate nafuu ya maisha. Na ninyi mnaowatetea wezi humu hamuwatendei haki ndugu zenu wanaotaabika na kupoteza maisha kwa kukosa huduma muhimu kama madawa kwenye mahospitali yetu. Wewe ambaye shida hii haijakutembelea namwomba mungu akuonjeshe japo kidogo tu uusikie utamu wa wizi na ufisadi.
Tuelewane sijabeza juhudi za mh.Kafulila ila ninabeza how kafulila apate bio tuzo kwa vigezo gani, sijakataa na wala sitakasilika iwapo atapata hio Tuzo, ila kabla sijakuunga mkono napenda unifahamishe kitu kimoja tu! Je unafahamu vigezo vya hio Nobel? Je kwa vigezo hivyo Kafulila anafit au tunajifurahisha? Je mh.Kafulila yupo kwenye category gani?
 
Kila lakheri mbunge wetu Mungu atakulinda na maadui wote usihofu uwe na Moyo Mkuu na ushujaa mwingi
 
Tuelewane sijabeza juhudi za mh.Kafulila ila ninabeza how kafulila apate bio tuzo kwa vigezo gani, sijakataa na wala sitakasilika iwapo atapata hio Tuzo, ila kabla sijakuunga mkono napenda unifahamishe kitu kimoja tu! Je unafahamu vigezo vya hio Nobel? Je kwa vigezo hivyo Kafulila anafit au tunajifurahisha? Je mh.Kafulila yupo kwenye category gani?

usitake kuwachosha watu humu. Mpaka kufika kumtaja kama mshiriki tayari ana vigezo. Categorization watamfanyia wahusika kulingana na vigezo alivyo navyo. Mbona unahoji vigezo na kundi, kwani wewe ni jaji wa hiyo kitu? Mshangilie mwenzetu, ndugu yetu na shujaa wetu kwa kuiamsha dunia juu ya dhuluma na wizi tunaofanyiwa na hawa wahuni ccm na kukatalia kodi za wananchi wao kushibisha familia chache. Wahisani na marafiki, chondechonde, msitoe hata senti moja hadi warudishe walizoficha ughaibuni na kama inawezekana mzizuie na kukaa nazo hadi tutakapokuwa huru mtupatie.
 
Back
Top Bottom