David Kafulila kuikwaa tuzo ya Nobel

David Kafulila kuikwaa tuzo ya Nobel

Hebu muweke Kafulila katika viatu vya Nyerere, je anaweza kuwemo hata kwenye orodha? Achilia mbali kufikiria kama atapata hio tuzo.

Akaze buti utakuja ipata akifika vigezo.
 
kama tuzo ya Nobel inatolewa hivyo, basi Mch. Mtikila angeshapata.
 
mwanasheria mkuu wa serikali ana sifa zote za kupata hiyo tuzo!
 
Tuvute subira, days will tell but also truth will prove, lakini Kafulila kwa kazi aliyoifanya anastahili kupewa hata zaidi ya hiyo tuzo ya noble. Ni vema kila mpenda haki na maendeleo ya nchi atambue kazi iliyofanywa na huyu kijana kuwa ni ya kishujaa na kizalendo. Sasa hivi angalau kuna adabu kwenye ofisi za mkulu mana hakuna allowances zisizokuwa za msingi......!! Tunaitaka report ya CAG...!!

These are among of the leaders we wanted before....!!!
Anastahili........!!!
 
Kijana mmoja mwenye asili tata.., amaefanikiwa kugundua lugha yake mpya kabisa ambayo anadai alioteshwa ndotoni..,lugha hiyo inaitwa the 'Bisayan language', ameitumia lugha hiyo ya ajabu na kuvutia kufanya remix ya nyimbo ya John legend inayoitwa 'all of me', msikilize mwenyewe hapa..

 
Last edited by a moderator:
Hivi ni vigezo gani vya kuzingatiwa mpaka iitwe lugha ??
Je, waweza kuwa wajiongelesha mwenyewe maneno yasiyojulikana kisha ukiita lugha? tena mpaka ukapewa tuzo ya NOBEl?
Tafadhari ngugu kafulila naomba uthibitishe hilo.
 
Back
Top Bottom