Mtamile
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 2,838
- 1,274
Angekuwa bado yuko CHADEMA ndoa angeisikia tu. Kule hakuna kuoa wala kuolewa.
bibi harusi yuko chadema lkn?
Angekuwa bado yuko CHADEMA ndoa angeisikia tu. Kule hakuna kuoa wala kuolewa.
Yuko bize!
Katika picha nimeona pia Mwigulu na Mzee wa Maswa wameudhuria bali Mbatia sijmwona. Halafu binti yaelekea yeye ni Chadema sasa sijui wote watahamia ACT ama vipi
Naungana na mkuu aliesema wakipata mtoto wamwite jina la ESCROW AU IPTL. ha haa.JF raha sana!
Kabisa mkuu....mtoto mkareee sana.
hebu tumpe credit zake .
Hongera ,Filikunjombe jiandae kwenda kuhojiwa na ile kamati yenu,ccm hawanaga kadogo si.
Kipilipili hakina adabu...Hongera tumbili
Kwanini tumbili haku chana nywele?
Hatimae 'tumbili' kaoa. Hongera Sana Mhe.
Hongera sana mkuu Kafulila david kwa kufunga ndoa takatifu na mtoto mkareee sana.
Baada ya kazi nzito ya kukamta majizi ya pesa za wananchi katika akaunti ya ESCROW, hatimaye mkuu kafulila aamua kujipongeza kwa kuvuta jiko lake la kitambo kirefu. Ila usisahau na ile ishu yetu ya ESCROW.
Picha:
Bwana Harusi David Kafulila akiwa na msimamizi wa ndoa yake Deo Filikunjombe na marafiki zake David Silinde na Mwam.