MeinKempf
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 11,092
- 7,235
Mtoto mzuri tutamjuaje kwa iyo picha moja tu
Mkuu mankachara huyo mtoto magori sana.
we mtathmini kwa umakini halafu utaniambia.
Last edited by a moderator:
Mtoto mzuri tutamjuaje kwa iyo picha moja tu
Mtoto mzuri tutamjuaje kwa iyo picha moja tu
Huyu bibi harusi anaitwa kamanda Jesica David Kishoa.Ni mwanachadema mpambanaji sana.Kama unataka picha zaidi za uzuri wake ingia fb usearch hilo jina.
Kuwa mwangalifu unapochangia hoja kwenye mada kama hizi. Kwenye kitu muhimu chenye baraka za Mungu, hapatakiwi utani ama udhalilishaji. Mungu anaweza kukugeuzia kibao kwa kauli zako unazozitoa mahala popote pale yaani hata hapa JF.
Hongera sana Mh. D. Kafulila na Mrs. D.Kafulila. Mungu awabariki katika maisha yenu yote ya ndoa. Amen.
Hivi kwa nini Watanzania hamtoi credit kwa gazeti la The Citizen waliofichuwa wizi wa Escrow?
![]()
Kisura huyu
Kwani mkuu labda unafahamu ni nn kinamzuia Zitto kuingia kwenye hiki chama chetu cha Wakubwa? Is it kukwepa majukumu au bado anakula ujana? Au kipi hasa, maana I guess he is around forty hivi?