David Kafulila anaoa leo 22/11/2014

David Kafulila anaoa leo 22/11/2014

Huyu bibi harusi anaitwa kamanda Jesica David Kishoa.Ni mwanachadema mpambanaji sana.Kama unataka picha zaidi za uzuri wake ingia fb usearch hilo jina.

Katika picha nimeona pia Mwigulu na Mzee wa Maswa wameudhuria bali Mbatia sijmwona. Halafu binti yaelekea yeye ni Chadema sasa sijui wote watahamia ACT ama vipi
 
Hongera sana mkuu Kafulila david kwa kufunga ndoa takatifu na mtoto mkareee sana.

Baada ya kazi nzito ya kukamta majizi ya pesa za wananchi katika akaunti ya ESCROW, hatimaye mkuu kafulila aamua kujipongeza kwa kuvuta jiko lake la kitambo kirefu.
Ila usisahau na ile ishu yetu ya ESCROW.

Picha:
Bwana Harusi David Kafulila akiwa na msimamizi wa ndoa yake Deo Filikunjombe na marafiki zake David Silinde na Mwam
.

Namsikitikia sana huyo bi harusi.
 
Mkewe ni mwanaCHADEMA..Tipical UKAWA.

Uko sahii kabisa mkuu, kwani hilo halina ubishi kuwa "Jesca David Kishoa" ni kamanda mtiifu na shupavu wa chadema.
 

Attachments

  • JES1.jpg
    JES1.jpg
    34.1 KB · Views: 1,472
  • JES3.jpg
    JES3.jpg
    18.5 KB · Views: 519
  • JES5.jpg
    JES5.jpg
    47 KB · Views: 524
Last edited by a moderator:
Mbona uso wa huyu dada umekomaa kama wa kafulila?

Mkuu amekomaaje? au macho yangu hayaoni?
Ila ndo inahitaji mtu mkomavu wa kifikra na kiakili wala sio uso.
Mtizame mtoto kwa mara nyingine kisha utaniambia kama kakomaa au la.
 
Angekuwa bado yuko CHADEMA ndoa angeisikia tu. Kule hakuna kuoa wala kuolewa.
 
si vizuri kumwita mtu tumbili hata kama iltokea mtu limtukana hivyo
 
mmmhhh... nadhani ataenda honey moon baada ya kumalizia ile ishu ya kuyaadhibu yale majizi yanayovaa vyuti.
mpe hongera zake mwabie
Marire anamsihi asiache kumalizia ngwe ya escrow alafu ndo aende honeymoon
MeinKempf
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom