Mara ya mwisho nilikuwa naye kamanda Jescar Chadema tawi la Udom mwaka jana
Mara ya mwisho nilikuwa naye kamanda Jescar Chadema tawi la Udom mwaka jana
Tulashashe Mubhagabhogabho
Wanasiasa acha tu.Kafulila alifukuzwa CHADEMA mchana kweupe.Leo kaenda oa Msichana kada wa CHADEMA rafiki yake mwenyekiti wa CHADEMA.kWA HIYO chadema ni wakwe zake na mwenyekiti wa CHADEMA ni ..... mwenzie.
Kafulila kutwa amekuwa akiiponda CCM na wabunge wake leo ndoa yake imesimamiwa na Mbunge Deo Filikunjombe wa CCM.
CCM anaita CHAMA CHA MAFISADI.Kwa hiyo mafisadi ndio waliosimamia ndoa yake
Kumbe kelele zote zile ilikuwa anatafuta mchango wa harusi IPTL
Hivi kumbe Jesca ni jiko lake la kitambo kimetulia
mbona wife wake nae ni public figure