Hivi kumbe Jesca ni jiko lake la kitambo kimetuliaHongera sana mkuu Kafulila david kwa kufunga ndoa takatifu na mtoto mkareee sana.
Baada ya kazi nzito ya kukamta majizi ya pesa za wananchi katika akaunti ya ESCROW, hatimaye mkuu kafulila aamua kujipongeza kwa kuvuta jiko lake la kitambo kirefu. Ila usisahau na ile ishu yetu ya ESCROW.
Picha:
Bwana Harusi David Kafulila akiwa na msimamizi wa ndoa yake Deo Filikunjombe na marafiki zake David Silinde na Mwam.
Mi niko CHADEMA njoo nikuchumbie, nikuoe niku.....ili kuthibitisha wapo waliooa CHADEMA. Kwamba wewe ni mwanamme si kitu mi navinjari hata msalani. Karibu nikushughlikie!
wewe mgonjwa wa kisonono umeruhusiwa lini kutoka wodinini kama mdada hajaridhika kisaikolojia
kwani wewe umeolewa wapi unavyouliza majibuHuko Kwenu CHADEMA wanaume wanaoana?
kwani wewe umeolewa wapi unavyouliza majibu
wewe ndo unatakiwa kusema ukweli siyo mimi umesahau mimi ni shemeji yako nimeoa dada yakoLabda ungeweka wazi wewe umeolewa wapi
acha dharau mkuuswali: kafulila akibahatika kuwa rais, mkewe ataitwaje? "First Tumbili?"
Dah Tumbili kajua kuchagua. Sasa werema atamjua kama yeye ni tumbili au Rambo. Hongera mkuu.![]()
Kisura huyu
Kweli tumbili kaoa maana hayo maua shingoni! By the way huyo tumbili kaoa tumbili pia au?