David Kafulila ameongea haya baada ya kushindwa kesi yake

David Kafulila ameongea haya baada ya kushindwa kesi yake

hembu acha mbwembwe zako wewe,haki haki unajua haki wewe???acheni mambo yenu jana kashinda silinde hamkusema leo kushindwa kwa kafulila hajatendewa haki vipi nyie??mkubali kushinda na kushindwa vilevile.............
Kijana unajua kwamba namba hazidanganyi ? Aliyepata namba kubwa ndio mshindi wa ubunge , hatutakubali dhuluma ya kishamba kama hii .
 
Kijana unajua kwamba namba hazidanganyi ? Aliyepata namba kubwa ndio mshindi wa ubunge , hatutakubali dhuluma ya kishamba kama hii .
tushawazoea ikiwa kwenu furaha ikiwa kwenu ni dhuluma,haya mambo ndugu yangu inabidi tuwe wote waungwana wakukubali mnaposhinda na mnaposhindwa na especially inapofikia maamuzi ya kimahakama..maana ni hizi hizi mahakama mnazozisifia wakiwapa nyie ushindi lakini ni hizi hizi mnazozisema mkishindwa kesi......dhuluma inaonekanaga kwenu tuu mkishindwa kwa wengine kwao ni haki imetendeka??
 
Huku ndio kukurupuka kwingine, umejuaje kama magazeti yalikuwa biased?Umesoma mwenendo wa kesi na hukumu?Umeisoma hiyo hukumu? au umejuaje?This is too low , magazet gani yalikuwa biased?

Nadhani hujui usemalo...nina uhakika wewe ndiye unayekurupuka, na pengine hata hufuatilii vyombo vya habari vinasema nini, na pengine hujui hata namna media choose their angle of stories...While I am writing from a professional point of view in journalism, wewe unazungumzia ushabiki...mimi sipo kwenye ushabiki...I am talking about how the media pick and cover issues.
 
While I am writing from a professional point of view in journalism, wewe unazungumzia ushabiki...mimi sipo kwenye ushabiki...I am talking about how the media pick and cover issues.
Wewe umeona mwenendo wa kesi na hukumu na umejuaje ya kuwa walikuwa biased wakati hata hukumu na mwenendo wa kesi hauna, unasema eti walikuwa biased what kind of journalists ni wewe?
 
.mimi sipo kwenye ushabiki...I am talking about how the media pick and cover issues.
Au ulikuwepo leo wakati hukumu inasomwa?Mhe Jaji alitumia vifungu gani kutoa uamuzi?au hukumu inasemaje?
 
Au ulikuwepo leo wakati hukumu inasomwa?Mhe Jaji alitumia vifungu gani kutoa uamuzi?au hukumu inasemaje?

Ninachoweza kusema kwa hoja yako hapa ni kuwa: poleni sana, comrade.
 
Ninachoweza kusema kwa hoja yako hapa ni kuwa: poleni sana, comrade.
Usinipe pole umetoa tuhuma nzito kwamba magazet yalikuwa biased, nimekuuliza swali rahisi umeona mwenendo wa kesi na hukumu unanipa pole tuko hapa kujifunza , hoja ujibiwa kwa hoja kwa hiyo pole ndio inajibu hoja yako mkuu?
 
Hivi kweli Kafulila alitegemea atendewe haki na watu hawa?
Anawajua vijana wa mjini kweli?
Wao ndio walimkataa, kwa kuwa alirushia kitumbua Chao mchanga....at least hatakufa njaa mke ata take care mambo madogo madogo, and the game goes on, sorry for him and the people of Kigoma South
Acha akome. Kaingia king mwenywe, asubiri 2020 mafi yke.
 
mchina hyo, panda juu, au igeuzegeuze mkuu[emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51]
imefunguka mkuu nafikiri mwanzoni ilkuwa haijaka sawa.

usinicheke nina simu nzuri,
lakini pia usikariri sio kila kitu cha mchina ni kibovu,
kumbuka mchina anauza bidhaa zake hata kwenye nchi zilizoendelea kama marekani.
 
ulikuwa utani tu mkuu, kama nmekukwaza nisamehe vzr
 
Usinipe pole umetoa tuhuma nzito kwamba magazet yalikuwa biased, nimekuuliza swali rahisi umeona mwenendo wa kesi na hukumu unanipa pole tuko hapa kujifunza , hoja ujibiwa kwa hoja kwa hiyo pole ndio inajibu hoja yako mkuu?

Siyo baadhi ya magazeti tu lakini hata baadhi ya watu humu JF walikuwa biased the way and the manner they reported, sawa comrade...
 
Hakuna kutengua matokeo yoyote yale.
Tinabana bajeti hadi kwenye haki zenu. Na katoka hili hakitaangaliwa chama, bali tutahakikisha aliyeshinda anabaki
 
Siyo baadhi ya magazeti tu lakini hata baadhi ya watu humu JF walikuwa biased the way and the manner they reported, sawa comrade...
Sawa bro , sasa kipi kimekufanya useme ya kuwa wachangiaji humu JF na magazeti yalikuwa biased, umeona na kuisoma hukumu na mwenendo wa kesi?Au you referring to what stand point to conclude hao watu walikuwa biased?
 
Kafulila sio Lazima uwe Mbunge ni Muda sasa uje ujenge chama.Unakumbuka uliingia bungeni kwa NCCR bila hata kujenga Tofali kujenga chama.Sasa uje umsaidie Mbatia kujenga Chama kimekufa.Mwambie Mkosamali pia aje na sio kusubiri kipindi cha uchaguzi ndio mnaenda majimboni.

Hapo Uvinza hamna ofisi,jenga sasa!

Pia kazi zipo nyingi za kufanya hujazaliwa kuwa Mbunge.Mrema alifanya kazi kubwa sana kupambana lakini kakubali matokeo.

Mbona kwa mujibu wa Husna umepeleka matokeo ya vituo 366 badala ya 382?

Sio lazima wewe na mkeo muwe wabunge tunahitaji mawazo kutoka watu mbali mbali.Hongera kwa miaka mitano,karibu uraiani.
Mkosamali tuko nae shule ametingwa na kitabu. Kwa sasa hawezi kushiriki ujenzi wa chama
 
Back
Top Bottom