David Kafulila ameongea haya baada ya kushindwa kesi yake

Kwahiyo ngoma droo,
alifukuzisha watu kazi,na yeye sasa hana kazi,
Mungu kaoffset
Hakufukuzisha watu kazi, alisema watu walifisadi nchi na hawakustahili kuwa pale, kwa utetezi wa msimamizi wa uchaguzi na ile hukumu nadhani we still have the long way to go
 
Alijifanya mpambanaji wa ufisadi kumbe hana lolote mcheki hapa akinadiwa na Lowasa.Kelele nyingi msimamo sifuri.

images

amekula matapishi!
 
Kafulila sio Lazima uwe Mbunge ni Muda sasa uje ujenge chama.Unakumbuka uliingia bungeni kwa NCCR bila hata kujenga Tofali kujenga chama.Sasa uje umsaidie Mbatia kujenga Chama kimekufa.Mwambie Mkosamali pia aje na sio kusubiri kipindi cha uchaguzi ndio mnaenda majimboni.

Hapo Uvinza hamna ofisi,jenga sasa!

Pia kazi zipo nyingi za kufanya hujazaliwa kuwa Mbunge.Mrema alifanya kazi kubwa sana kupambana lakini kakubali matokeo.

Mbona kwa mujibu wa Husna umepeleka matokeo ya vituo 366 badala ya 382?

Sio lazima wewe na mkeo muwe wabunge tunahitaji mawazo kutoka watu mbali mbali.Hongera kwa miaka mitano,karibu uraiani.

Mahakama ilikuwa na matokeo ya vituo vilivyobaki ila ikagoma kuziweka form hizo hadharani,kafulila hakuwa na form za vituo 12 tu.Form hizo hakuweza kuzikusanya toka kwa mawakala wa chama chake ila tume ilikuwa nazo na ndizo zilikuwa mahakamani.
 
Matokeo anayepaswa kupeleka ni Kafulira au nani?Nani ana matokeo Wakudadavua?Mbunge wako mwenyewe anakili Kafulira ni Jembe, hivi kaka yule mama na Kafulila who is the best?Sasa Kafulira ndio apeleke matokeo Mahakamani?
 
kama alitegemea siasa ndo impe ugali wake.pole yake
Kafulira ategemei siasa anapigania haki yake , yaani kile anachokiamini?Pole wewe ambaye hata jinsi ya kupigania haki yako haujui yaani upo upo tu?
 
Mahakama ilikuwa na matokeo ya vituo vilivyobaki ila ikagoma kuziweka form hizo hadharani,kafulila hakuwa na form za vituo 12 tu.Form hizo hakuweza kuzikusanya toka kwa mawakala wa chama chake ila tume ilikuwa nazo na ndizo zilikuwa mahakamani.
Hawawezi kukuelewa katika hili hao wapo wapo tu ilimradi
 
Kawatibulia maesabu kweli!!
Kuwa krb na wife kwenye vikao watu wasije itumia fursa !!
 
Onyo - haki ya shujaa kafulila haitapotea bure .
hembu acha mbwembwe zako wewe,haki haki unajua haki wewe???acheni mambo yenu jana kashinda silinde hamkusema leo kushindwa kwa kafulila hajatendewa haki vipi nyie??mkubali kushinda na kushindwa vilevile.............
 
Nchi ngumu sana hiii.

Ni kweli nchi ni ngumu...lakini pamoja na hayo kesi hii ni fundisho tosha kwa baadhi ya watoa michango yao humu JF pamoja na baadhi ya waandishi wa habari na vyombo vyao vya habari ambao walikuwa very biased katika reports zao...baadhi yetu tuliwaambia humu JF kuwa watu wasubiri maamuzi au hukumu na siyo kubwabwaja ovyo ovyo tu, kuwa eti fulani atashinda kesi...yaani watu walikuwa wanachukua vipengele vichache tu vya mwendo wa kesi kuonyesha kwamba eti atashinda kesi...mahakama inaangalia suala Zima kwa ujumla na siyo vipengele vichache kwa manufaa ya watu.
 
Huku ndio kukurupuka kwingine, umejuaje kama magazeti yalikuwa biased?Umesoma mwenendo wa kesi na hukumu?Umeisoma hiyo hukumu? au umejuaje?This is too low , magazet gani yalikuwa biased?
 
Back
Top Bottom