Kisima
Platinum Member
- Oct 8, 2010
- 4,793
- 6,557
Mkuu kwa scenario kama hizi na siasa wa nchi yetu, waungwana huwa tunatunza maneno kulingana na upepo!Watanzania bana, wakishindwa upande huu haki haijatendeka, akishindwa Wasira haki imetendeka. Hebu tujifunze kuwa wavumilivu wa kupokea Yale yasiyotupendeza.
Kwanza ieleweke kuwa CCM they are capable of doing/spinning anything they like..
Awamu hii mtu kama wasirra hakutakiwa na hatatakiwa tena kuwepo kwenye siasa za Tanzania na ndiyo maana alikosa ushirikiano kutoka mamlaka kuu ili wamuweke madarakani.