David Kafulila ameongea haya baada ya kushindwa kesi yake

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,292
David (NCCR Mageuzi) Kafulila kayaongea haya Baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Tabora kutoa maamuzi ya Kesi ya kupinga Matokeo ya uchaguzi aliyokuwa Ameifunguwa na hivyo kumpa ushindi Hasna Mwilima( CCM).

 
Hivi kweli Kafulila alitegemea atendewe haki na watu hawa?
Anawajua vijana wa mjini kweli?
Wao ndio walimkataa, kwa kuwa alirushia kitumbua Chao mchanga....at least hatakufa njaa mke ata take care mambo madogo madogo, and the game goes on, sorry for him and the people of Kigoma South
 
Kafulila sio Lazima uwe Mbunge ni Muda sasa uje ujenge chama.Unakumbuka uliingia bungeni kwa NCCR bila hata kujenga Tofali kujenga chama.Sasa uje umsaidie Mbatia kujenga Chama kimekufa.Mwambie Mkosamali pia aje na sio kusubiri kipindi cha uchaguzi ndio mnaenda majimboni.

Hapo Uvinza hamna ofisi,jenga sasa!

Pia kazi zipo nyingi za kufanya hujazaliwa kuwa Mbunge.Mrema alifanya kazi kubwa sana kupambana lakini kakubali matokeo.

Mbona kwa mujibu wa Husna umepeleka matokeo ya vituo 366 badala ya 382?

Sio lazima wewe na mkeo muwe wabunge tunahitaji mawazo kutoka watu mbali mbali.Hongera kwa miaka mitano,karibu uraiani.
 
Laana hiyo alisema watu hawana uwezo wa kuanzisha vyama vya mawese lakini wanadiriki kuanzisha vyama vya siasa .naona wananchi wa kigoma wampa discipline.....ccm mbele kwa mbele

Alijifanya mpambanaji wa ufisadi kumbe hana lolote mcheki hapa akinadiwa na Lowasa.Kelele nyingi msimamo sifuri.

images
 
Kafulila pole sana ndugu yangu haki imeonekana imetendeka kwa hakika Mungu humpa kila ampendae kwa wakati wake

Ulikuwa mbunge kwa miaka mitano sasa Allah amempa Husnah kwa miaka mitano mingine na atampa mwingine ampendae Tena kwa miaka 5 mingine
 
Aende zake akafanye shughuri zingine maisha ndivyo yalivyo hata huku mitaani nasi tunahasa hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom