Kwa hiyo kutengua uchaguzi pasipo ushahidi ndo sheria???Yaani uchaguzi huu hakuna kesi ambayo matokeo yake yamefutwa mpaka sasa!! Nahisi hii itawajengea kiburi watawala kwa kusema we tangaza tu mshindi tunaemtaka sisi mambo mengine tutajuana mbele kwa mbele.
nashindwa kuwaelewa proj j kashinda ,msigwa kashinda ,silinde kashinda ,bulaya kashinda ila kafulila kushindwa sio haki .doh
Tunataka haki siyo kubalance mambo ili ionekane haki imetendeka , uzoefu unaonyesha kwamba ccm inabebwa katika sekta zote .nashindwa kuwaelewa proj j kashinda ,msigwa kashinda ,silinde kashinda ,bulaya kashinda ila kafulila kushindwa sio haki .doh
Hahaha..Siasa ni kahaba anayejali mda, ukimhonga leo kesho jipange tena, ukishinda uchaguzi tumia nafasi usijihakikishie ushindi mda wote, ungana na akina Steven wasira kuomboleza kichapo
hamna shaka mkuu tuko pamoja.ulikuwa utani tu mkuu, kama nmekukwaza nisamehe vzr
kafulila kwa wanyonge hayupo tafadhali sana wanyonge tunajijua, kwa maana tuna sifa zetu tofauti ktk jamii hii, mnyonge hana uhusiano na press, mnyonge kesi yake kiwango cha muda wa kusikilizwa cha chini kabisa ni miaka kumi, siku ya hukumu hutaona pambio, mnyonge mwache na unyonge wake. mfano kwa mnyonge kesi ya jinai ni rahisi kuifanya ya madai, wakili lazima awe wa kujitolea kama NORA na haki za binadamu, kwa hiyo hawa wengine wote wanajua mchezo wao wasiwahadae kujichanya na siye tusio na mbeleko hiyo.Mnyonge ananyongwa na haki yake hapewi vilevile.
Wala upinzani usitegemee kupewa haki chini ya uongozi wa hawa jamaa zetu na kunyongwa watanyongwa tu.Yawezekana pia aliwasilisha fomu zote 382 bado wakadai kuona 366 kwani lengo lilikuwepo.Ushauri wangu kwa Kafulila na Wenje wa Mwanza wasijisumbue kukata hizo rufaa hawatakaa washinde ilihali majimbo yao yanatakiwa na wenye nguvu na mamlaka.Upinzani ushughulikie upatikanaji wa tume huru ya uchaguzi na katiba ya wananchi haswa mapendekezo yao kupitia jaji Warioba.Hivyo ndivyo vitakavyowapa wao na wananchi kwa ujumla haki.Kinyume cha hivyo upinzani hawawezi kushinda uchaguzi mkuu wowote na wenye nguvu wakilitaka jimbo lolote la upinzani haswa lenye m-bunge tishio kwao watalichukua tu.Ila Arusha hawathubutu.Najua watainuka vinyamkera wao na kudai mbona mahakama imempa haki Silinde nami nitawaambia yeye sio tishio kwao kama alivyo Kafulila.Ulizeni na jingine.
kesi kama hizo zipo mkuu, kuna kesi ya 95 makongoro nyerere alienguliwa ubunge wake, kuna ya dalay pita kafumu wa igunga pia na lema arushaJe, ni mkakati wa Mahakama na Serikali kuhakikisha hakuna kesi ya uchaguzi ambayo ushindi hautenguliwi? Maana sijasikia kesi ya uchaguzi ambayo mlalamikaji kashinda.
Vv
tume huru inahitaji zaidi ya katiba mpya, yaani haiwezekaniKenya wanakatiba yao mpya lakini bado tume yao sio huru
UKAWA walijisahau kuzungusha mikono na Lowassa huku wabunge wakipigwa za usoEscrow haikupiga kura,ila Kafulila aliharibu ulaji wa wakubwa kupitia issue hiyo,kwa vyovyote kulikuwa na mchezo mchafu wa kumkomoa Kafulila asirudi bungeni