David Kafulila akamatwa na Polisi

David Kafulila akamatwa na Polisi

Kwanini wanune hadi wamkamate? Si kaongea habari ambayo aliisema pia Bungeni? Tena wengi sana walisema kuwa, wataona aibu kuwaalika wananchi kuchangia ujenzi wa Nchi yao kama Serikali isipochukua hatua kwa wezi wa rasilimali zetu...

Serikali ya CCM nadhani inakimbiza kivuli chake...

Amevunja makubaliano halali ya vikao halali vya madiwani vilivyotoa maazimio kuwa watu wachangie maendeleo kwenye eneo alilokuwa akihamasisha watu wachangie.

Ajue kuwa wawakilishi halali kwenye serikali za mitaa ni madiwani.Yeye ni mbunge kule kwenye serikali kuu sasa kisa cha yeye kwenda kufanyia vurugu serikali za mtaa wasichangie ana maana gani? Serikali za mitaa kupitia wawakilishi wao wameamua hivyo yeye anaenda kuwapinga akatokea huko ofisi kuu yake jimboni kwenda kupinga.Lazima akamatwe.

Iko haja ya kamata kamata kuanza kushika wabunge wote wanaenda majimboni kwenda kuhamasisha watu wasitekeleze yale yaliyoamriwa na vikao vya madiwani ambao ni wawakilishi halali wa wananchi kwenye maeneo yao.

Halafu zile hela za mfuko wa jimbo alizopewa kwa ajili ya jimbo lake katumiaje fisadi mkubwa kafulila.Aonyeshe ushahidi wa alivyozitumia.
 
Ndio tatizo la akili ndogo kuwa kwenye mamlaka, na kuitawala akili kubwa. Tutashuhudia ujinga mwingi sana hadi akili ndogo itakapong'oka.
Ova
 
Ní kwa kushawishi wananchi wasichangie michango ya maendeleo Uvinza,Kigoma. Anashikiliwa kituo cha Polisi kwa mahojiano.

Chanzo: Jamaa aliye Kígoma

Chanzo Kingine: Habari Leo (gazeti la CCM)

wanasiasa wote sasa wanawakataza wapiga kura wao kutochangia maabara kwa sababu serikali ina fedha nyingi za kuchezea. kukamatwa kwa Kafulila kunatokana na msimamo wake thabiti kusimamia sakata la ESCROW. kwamba amekamatwa kwa 7bu ya kuwazuia raia wasichangie maabara, ni kisingizio cha kuotea. ukweli ni kwamba amekamatwa kwa sababu ya kushupalia sana hoja ya ESCROW na kuiumbua serikali ya MAJIZI. huu ndio ukweli na usahihi wa kukamatwa kwa Dr Kafulila.
 
Wenzenu Kilimanjaro walishachangia maendeleo hadi basi.Sasa hivi wana mashule mazuri na maendeleo kibao sekta za jamii.

Nyie wa kigoma na vumbi na viroboto kwenye miguu mko nyuma kimaendeleo mnahamasishana msichangie maendeleo mtajijua.Wenzenu walishamaliza kuchangia kwenye mikoa yao kama kilimanjaro sasa hivi ni kula kuku na kupiga siasa za bla bla kwenye majukwaa nyumbani kuko vizuri hamna nyumba iliyoezekwa kwa nyasi kama kigoma.

Acheni kuchangia maendeleo mtabaki watumwa wa watu wa kilimanjaro hadi mfe kwa ulofa.

Kumbe Bil 300 za ESCROW zingeweza kuleta maendeleo sana?
 
Huko ndiko watamuwekea polonium. Wanatafuta njia ya kummaliza.

Zogwale kula tano.

Kafulila inabidi awe makini sana baada ya kutifua kundi lacnzi waliokuwa wamejikusanya kula kinyesi.
 
Chanzo Kingine: Habari Leo (gazeti la CCM)

wanasiasa wote sasa wanawakataza wapiga kura wao kutochangia maabara kwa sababu serikali ina fedha nyingi za kuchezea. kukamatwa kwa Kafulila kunatokana na msimamo wake thabiti kusimamia sakata la ESCROW. kwamba amekamatwa kwa 7bu ya kuwazuia raia wasichangie maabara, ni kisingizio cha kuotea. ukweli ni kwamba amekamatwa kwa sababu ya kushupalia sana hoja ya ESCROW na kuiumbua serikali ya MAJIZI. huu ndio ukweli na usahihi wa kukamatwa kwa Dr Kafulila.

Hela za ESCROW sio za serikali shauri yenu endeleeni kupoteza muda wenu kugombea hela ya singa singa ambayo hamtaipata.Hata singasinga akishindwa hiyo pesa itaenda kulipa madeni ya mabenki ya Standard CHartered ya malyasia na wadeni wengine.Mitihani ya taifa ikija watoto wenu watafeli mtabaki kubwata tulidhani hela ya ESCROW ya serikali wakati huo watoto wenu watakuwa wameshapata division zero kila kona.

Narudia tena Kafulila asiwapotezee watu wa kigoma wategemee kujenga maabara kwa hela isiyokuwa mikononi ya ESCROW na ambayo haieleweki itapatikana lini hata kama ingekuwa ni kweli ni ya serikali. Na hata kupatikana kwake si kwa leo wala kesho.Wabajeti kwa hicho kilichopo wajenge maabara iwe kwa kuchangia au vinginevyo.Kusubiria hela za Escrow Kigoma watasubiri sana!!! tena sana!!.Mahakama hadi zimalize hiyo mikesi si leo wala kesho.

A bird in hand is better than the one which not in your hand.Nawaonya wanakigoma acheni kusubiria bajeti ya hela za ESCROW zisizokuwepo mikononi.Nawajua ni wabishi ila kwa hili mkisubiria hizo mtaumia wengine sehemu zingine wanachangia na maisha yanaendelea.
 
Dah! maskini Tanzania nchi ya wajinga,inayoongozwa na wajinga!!!! kwani maendelo yanachangiwa??! Hawa wananchi walio maskini wachangie mara ngapi si mchango wa kodi unatosha kwanini walazimishwe michango mengine....
 
Mkuu, kwa sirikali hii huwezi ckia wa2 kama Chenge wanahojiwa hata dk 1... Me nashangaa sana ktk hili.

Nchi wanazochinjana chanzo chake huwaga ni vitu vya aina hii. And we are not different.
 
Dah! maskini Tanzania nchi ya wajinga,inayoongozwa na wajinga!!!! kwani maendelo yanachangiwa??! Hawa wananchi walio maskini wachangie mara ngapi si mchango wa kodi unatosha kwanini walazimishwe michango mengine....

Kaangalie mikoa iliyo nyuma kuchangia maendeleo ilivyo nyuma kimaisha kuanzia ngazi ya familia,ukoo n.k
Hawachangiani kusomesha watoto shule nzuri n.k utasikia ni kazi ya serikali hiyo.Mwisho wa siku unakuta wachangia maendeleo wako mbele wasiochangia wako hoi kimaisha.

Kodi wanayochangia wana kigoma hiyo ya VAT ni shilingi ngapi jamani? Hivi kigoma ukipita hata mitaani kuna walipa kodi kweli hata uwatazame tu kwa sura au biashara wanazofanya?

Anyway endeleeni kususa kuchangia maendeleo mwisho wa siku mkifanya self assessment mtajiona wenyewe kama mlikuwa sahihi au la
 
........ Waha Wabishi Wewe Na Wana Akili Sana Ya Kufikiri Siyo Kama Hao Wajinga Unaowasema, Wao Hata Wakiambiwa Wachangie Kuwatoa Kafara Watoto Wao Wanafanya Tu, Hawafikiri Hata Kidogo. Kwa Taarifa Yako Kigoma Kuna Shule Nyingi Na Nzuri, Bila Kuchangishana Zimejengwa. Halafu Hiyo Vumbi Unayosema Hata Dsm Ipo, Kama Ni Funza Hata Wewe Unazo.! Ukioza Zinatoka Tu. Subiri Utaona

Funza anao huyo mwambie ACHUTAME watatoka tuuu
 
Kaangalie mikoa iliyo nyuma kuchangia maendeleo ilivyo nyuma kimaisha kuanzia ngazi ya familia,ukoo n.k
Hawachangiani kusomesha watoto shule nzuri n.k utasikia ni kazi ya serikali hiyo.Mwisho wa siku unakuta wachangia maendeleo wako mbele wasiochangia wako hoi kimaisha.

Kodi wanayochangia wana kigoma hiyo ya VAT ni shilingi ngapi jamani? Hivi kigoma ukipita hata mitaani kuna walipa kodi kweli hata uwatazame tu kwa sura au biashara wanazofanya?

Anyway endeleeni kususa kuchangia maendeleo mwisho wa siku mkifanya self assessment mtajiona wenyewe kama mlikuwa sahihi au la

Wanawafanya wananchi maskini wachangie maendeleo wakati wao wanaiba pesa bila ya kuwaonea hao wananchi huruma kwanini hizo pesa wanazoiba hawazitoi kuchangia maendeleo

Hii siasa ya kufanya wananchi masikini wachangie maendeleo wakati wao hawana hata ndururu yakulisha familia zao ni ya onvyo,ni siasa ya kuwafunga macho wananchi ili wanasiasa wezi wazidi kuiba

Hizi siasa za kumlazimisha mwananchi achangie ni za mfumo wa kisoshalist(kijamaa),Tanzania tulinao nayo leo sio ya kijamaa tena wakati wa ujamaa na kujitegemea umepitwa na wakati,tafauti ya kimaisha kati ya wanasiasa na raia wa kawaida ni kubwa sana bado wanasiasa wanataka kuwakamua raia wa kawaida ambao ni mafukara

kama pesa za kodi zinazokusanywa zina kwenda zinapotakiwa haziendi kwa wanasiasa ambao wengi wao ni wezi haya mambo ya kuchangia mambo ya dhulma yasingelikuwepo,,,,

Tutaendelea kususa mpaka muache kutuibia haki zetu
 
afanywe nini??? Maana ccm kwa uuaji hamko nyuma, wakiongozwa na mambumbumbu kama wewe, then sijajua kwa sababu zipi za msingi wewe kama mtanzania mwenye uchungu na taifa lako unamchukia kafulila, si bure utakuwa una jeraha kwenye inshu aliyo iibua kafulila si bure.

Wanasema eti kumkomesha kwa kuwa ameoa hivi karibuni eti huko lupango wam-'castrate' ili ugomvi uwe kati yake na mkewe, awe frustrated! aachane na ESKROW! mifisadi bana!
 
Ní kwa kushawishi wananchi wasichangie michango ya maendeleo Uvinza,Kigoma. Anashikiliwa kituo cha Polisi kwa mahojiano.

Chanzo: Jamaa aliye Kígoma

Huku nikumfikisha Kobe safari yake nmapema kuliko mwendo wake wa kwaida.Hiyo ni kesi ndogo sana na hasa wataitwist ilikufiti malengo yao,maana na amini suala la kuchangia ni hiari ya mtu na kwa kadri ya uwezo wake. Haya si mambo ya Kisheria kama Kodi,na kwa vile Kazi ya Mbunge ni kuisimamia Serikali haki mojawapo ya kuona Serikali inatimiza wajibu wake ni kuwashawishi Wananchi kutojihiari kwenye Michango kama hii ya Maabara mpaka Upande wa Serikali utimize jukumu lake ya Kisheria.

Hakuna Kesi dhidi ya Mhe.Mbunge ila kinachofanyika ni kumficha ili sumu isiendelee.

Ní kwa kushawishi wananchi wasichangie michango ya maendeleo Uvinza,Kigoma. Anashikiliwa kituo cha Polisi kwa mahojiano.

Chanzo: Jamaa aliye Kígoma

  • 18th November 2014 07:36
    #1
    JF Senior Expert MemberArray

    Join Date : 17th June 2014
    Posts : 1,024
    Rep Power : 530
    Likes Received208
    Likes Given179

    [h=2]
    icon1.png
    David Kafulila amfurahisha Kikwete[/h]
    Imethibitika kuwa jimbo la Kigoma Kusini ambalo linaongozwa na mbunge David Kafulila ndio jimbo pekee Tanzania ambalo shule zake zote za sekondari zimefanikiwa kuwa na maabara(laboratory) tena zenye vifaa vya kujifunzia kwa vitendo,

    Jimbo hilo lenye shule 17 zenye maabara kati ya shule hizo, shule 3 zina mfumo wa kisasa kabisa kama simu, fax, na kompyuta. Akizungumza jana na ITV katika kipindi cha dakika 45 kafulila aliongeza kwa kipindi chake kilichosalia anataka kuakikisha shule zilizobakia zinapata, simu fax, na kompyuta,

    Hali hiyo imemfurahisha sana JK kwani ameona ni mbunge pekee alieonyesha kwa 100% kwa vitendo kampeni yake kuakikisha kila shule inakuwa na maabara za sayansi katika mashule ya sekondari hapa nchini

    Last edited by tamimusalim; 18th November 2014 at 07:48.​
    Kasheshe, mooduke, Daudi Mchambuzi and 4 others like this.

    Send PM

  • https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/759609-david-kafulila-amfurahisha-kikwete-4.html

Ní kwa kushawishi wananchi wasichangie michango ya maendeleo Uvinza,Kigoma. Anashikiliwa kituo cha Polisi kwa mahojiano.

Chanzo: Jamaa aliye Kígoma

Good wambie wamsweke ndani kwa wiki mbili hapana chezea maendeleo ya wananchi hivihivi
 
Sisi tumekatwa kwa nguvu kwenye mishahara tukitishwa kuachishwa kazi eti kwa sababu ni "Amri ya Rais" sawa lakini tumehamasishana kila mmoja kushawishi angalau watu 50 wasiwachague majambazi CCM. Mimi hadi leo nimefikisha 400. Ntawapa mshindo nyuma baada ya Jumapili hii kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.
CCM - Janga la Taifa.
 
Kaangalie mikoa iliyo nyuma kuchangia maendeleo ilivyo nyuma kimaisha kuanzia ngazi ya familia,ukoo n.k
Hawachangiani kusomesha watoto shule nzuri n.k utasikia ni kazi ya serikali hiyo.Mwisho wa siku unakuta wachangia maendeleo wako mbele wasiochangia wako hoi kimaisha.

Kodi wanayochangia wana kigoma hiyo ya VAT ni shilingi ngapi jamani? Hivi kigoma ukipita hata mitaani kuna walipa kodi kweli hata uwatazame tu kwa sura au biashara wanazofanya?

Anyway endeleeni kususa kuchangia maendeleo mwisho wa siku mkifanya self assessment mtajiona wenyewe kama mlikuwa sahihi au la

Suala si kuchangia bali ni usalama wa fedha tunazochanga ambazo tunazikabidhi kwa watu wasioaminika - vibaka, majambazi ambao hakuna miongoni mwao wa kuaminika; kuanzia Rais hadi Tarishi!
Na Rais ni nani hadi kuamrisha watu wanyang'anywe fedha zao watake wasitake eti kwa kisingizio cha kuchangia "maendeleo"?
 
Sisi tumekatwa kwa nguvu kwenye mishahara tukitishwa kuachishwa kazi eti kwa sababu ni "Amri ya Rais" sawa lakini tumehamasishana kila mmoja kushawishi angalau watu 50 wasiwachague majambazi CCM. Mimi hadi leo nimefikisha 400. Ntawapa mshindo nyuma baada ya Jumapili hii kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.
CCM - Janga la Taifa.
na nyie ni vilaza tu! kwani amri ya rais ndiyo inasema mishahara ya wafanyakazi ikatwe tu? mbona yeye rais anakula na kulala bure hajasamehe mshahara wake ili ukajenge maabara?
 
Back
Top Bottom