nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
lisu yale ni maji marefu.Mbona hawajamkamata Tundu Lissu aliyegomesha wananchi wake kuchangia tangu ameingia madarakani?
lisu yale ni maji marefu.Mbona hawajamkamata Tundu Lissu aliyegomesha wananchi wake kuchangia tangu ameingia madarakani?
huu uharo sijauelewa kamwe! Kwani kigoma wanachangia kiasi gani tofauti na mikoa mingine? Unafahamu aina za kodi kweli wewe?Kwa jinsi tunavyonyonywa na mikoa inayochangia kodi kidogo TRA ya hawa akina Kafulila naona iko haja ya kukubaliana na sera ya majimbo ya CHADEMA ili kila mtu ale chake.Jimbo lofa kama la Kafulila libakie na ulofa wake forever sababu hela za Kodi watakazokusanya zitakuwa hazitoshi hata kulipia vikao vya madiwani au kumlipa mbunge hayo mamilioni anayolipwa Kafulila sasa.
kwani serikali imepungukiwa pesa mpaka wanainchi wachange???
pesa za kutawanya kwa maviroba leo wanainchi wachange?????
hata akikamatwa tayari MCC wameshaweka sharti la kutekelezwa kwa maazimio ya bunge
Inategemea kama unataka maendeleo ya haraka au la kama ikiwa kodi hazitoshi.
Kigoma inabidi wachangie.Ni katika mikoa inayonyonya sana mikoa mingine.Nenda kaangalia mkoa mzima wa kigoma unachangia kodi zote shilingi ngapi TRA halafu angalia huduma kama mabarabara,madaraja n.k waliyojengewa yamegharimu shilingi ngapi.Hizo zilizozidi zimetoka kwa walipa kodi wa mikoa mingine.
Iko haja ya kupitisha sheria kuwa kila mkoa utumie kodi zake tu halafu tuone kigoma watakuweje kimaendeleo.
Hapo tu wameshatunyonya vya kutosha mikoa mingine wasitupandishe hasira hawalipi kodi au kodi wanayolipa kidogo halafu halafu hata kuchangia maendeleo yao hawataki.
Hapo alipokuwa akihamasisha kafulila watu wasichangie maendeleo pana walipa kodi wangapi na wamelipa shilingi ngapi kama kodi?

..... Acha Pumba Zako Hapa, Hivi Unjua Vizuri Mapato Ya Inchi Kutoka Kigoma? Fuatilia Data Wewe Siyo Unakurupuka Tu
Unahitaji kuwa na takwimu sahihi. Unachotaka sidhani kama kina ukweli, hakuna mkoa usioweza kujiendesha walipewa fursaKwa jinsi tunavyonyonywa na mikoa inayochangia kodi kidogo TRA ya hawa akina Kafulila naona iko haja ya kukubaliana na sera ya majimbo ya CHADEMA ili kila mtu ale chake.Jimbo lofa kama la Kafulila libakie na ulofa wake forever sababu hela za Kodi watakazokusanya zitakuwa hazitoshi hata kulipia vikao vya madiwani au kumlipa mbunge hayo mamilioni anayolipwa Kafulila sasa.
Ni kosa la jinai kuzuia mipango ya maendeleo ya nchi. Huyu anastahili kufichwa mpaka ajifunze adabu.
Acha uhuni kibaka wa kiccmWenzenu Kilimanjaro walishachangia maendeleo hadi basi.Sasa hivi wana mashule mazuri na maendeleo kibao sekta za jamii. Nyie wa kigoma na vumbi na viroboto kwenye miguu mko nyuma kimaendeleo mnahamasishana msichangie maendeleo mtajijua.Wenzenu walishamaliza kuchangia kwenye mikoa yao kama kilimanjaro sasa hivi ni kula kuku na kupiga siasa za bla bla kwenye majukwaa nyumbani kuko vizuri hamna nyumba iliyoezekwa kwa nyasi kama kigoma. Acheni kuchangia maendeleo mtabaki watumwa wa watu wa kilimanjaro hadi mfe kwa ulofa.
Si uziweke hizo data ili kukata mzizi wa fitina?
Ní kwa kushawishi wananchi wasichangie michango ya maendeleo Uvinza,Kigoma. Anashikiliwa kituo cha Polisi kwa mahojiano.
Chanzo: Jamaa aliye Kígoma
Mkuu,nikiri kwanza kuwa mimi ni Wakili ingawa sijui kama ni mzuri au la. Mkuu,masuala la kijamii huongozwa na sheria. Zaweza kuwa Sheria zitungwazo na Bunge au zile ndogondogo. Masuala haya hayapaswi kuendeshwa kwa kauli za viongozi.
Kimsingi,serikali ina wajibu wa kujenga miundombinu mbalimbali kwa wananchi. Kisheria,mwananchi hana wajibu wa kujenga miundombinu kwa njia ya kuchanga. Sababu ni kuwa mwananchi si mkusanya kodi,mtunza fedha na mpanga mipango.
Hatahivyo wananchi wanaweza kuridhia kuchanga michango mbalimbali. Si kwa njia ya kushurutishwa. Wanapaswa kushawishiwa na kuombwa kuchanga.
Asante Mkuu
Wenzenu Kilimanjaro walishachangia maendeleo hadi basi.Sasa hivi wana mashule mazuri na maendeleo kibao sekta za jamii.
Nyie wa kigoma na vumbi na viroboto kwenye miguu mko nyuma kimaendeleo mnahamasishana msichangie maendeleo mtajijua.Wenzenu walishamaliza kuchangia kwenye mikoa yao kama kilimanjaro sasa hivi ni kula kuku na kupiga siasa za bla bla kwenye majukwaa nyumbani kuko vizuri hamna nyumba iliyoezekwa kwa nyasi kama kigoma.
Acheni kuchangia maendeleo mtabaki watumwa wa watu wa kilimanjaro hadi mfe kwa ulofa.