Kaangalie mikoa iliyo nyuma kuchangia maendeleo ilivyo nyuma kimaisha kuanzia ngazi ya familia,ukoo n.k
Hawachangiani kusomesha watoto shule nzuri n.k utasikia ni kazi ya serikali hiyo.Mwisho wa siku unakuta wachangia maendeleo wako mbele wasiochangia wako hoi kimaisha.
Kodi wanayochangia wana kigoma hiyo ya VAT ni shilingi ngapi jamani? Hivi kigoma ukipita hata mitaani kuna walipa kodi kweli hata uwatazame tu kwa sura au biashara wanazofanya?
Anyway endeleeni kususa kuchangia maendeleo mwisho wa siku mkifanya self assessment mtajiona wenyewe kama mlikuwa sahihi au la
sikutegemea kama wewe ni juha na kilaza kwa kiwango hiki!