David Kafulila akamatwa na Polisi

David Kafulila akamatwa na Polisi

Ashughulikiwe ipasavyo

afanywe nini??? Maana ccm kwa uuaji hamko nyuma, wakiongozwa na mambumbumbu kama wewe, then sijajua kwa sababu zipi za msingi wewe kama mtanzania mwenye uchungu na taifa lako unamchukia kafulila, si bure utakuwa una jeraha kwenye inshu aliyo iibua kafulila si bure.
 
Tatizo baadhi ya watendaji huchukulia hii michango kama lazima ikiwemo kukamata mali za walioshindwa kuchangia kukamata watu nk.Jamii nyingine ni masikini sana kiasi watu kujificha maporini ili wasikamatwe nyie mnalionaje hili? Nilipokuwa kadogo kulikuwa na michango aina hii knjaro na nilishuhudia wazee wakijifungia ndani waliposhindwa kuchangia au familia kukosa mwakilishi wa kujitolea nguvu kazi kutengeneza barabara.tuliambiwa tuingize kila kitu ndani majembe, mashoka ,kahawa hata mahindi huwezi anika mana mgambo wa kijiji wanapita nakutaifisha .Haya yaliwezekani miaka hiyo kabla ya democrasia .Jiulize kodi ya kichwa ilishindikanaje?
 
CCM ni chama cha kishetani.
Huwezi kukurupuka kumkamta mtu anayetetea matumizi bora ya Serikali na kuacha kugandamiza wanyonge na kuwaacha mafisadi yakitawala ofisi za umma huku yakilipwa mabilioni na kuiba mabilioni ya walipa kodi.

Huu ni uonevu kwa kafulila labda kama wanataka kumuua.
Mungu atamlinda mjumbe wake tu dhidi ya CCM(Lusifa wa Tanzania)
 
Ní kwa kushawishi wananchi wasichangie michango ya maendeleo Uvinza,Kigoma. Anashikiliwa kituo cha Polisi kwa mahojiano.

Chanzo: Jamaa aliye Kígoma
....msichange mchango wowowte wa maendeleo chini ya serikali ya ccm,halafu mbona dar es salaam watu hawachangishwi?.
 
Tatizo baadhi ya watendaji huchukulia hii michango kama lazima ikiwemo kukamata mali za walioshindwa kuchangia kukamata watu nk.Jamii nyingine ni masikini sana kiasi watu kujificha maporini ili wasikamatwe nyie mnalionaje hili? Nilipokuwa kadogo kulikuwa na michango aina hii knjaro na nilishuhudia wazee wakijifungia ndani waliposhindwa kuchangia au familia kukosa mwakilishi wa kujitolea nguvu kazi kutengeneza barabara.tuliambiwa tuingize kila kitu ndani majembe, mashoka ,kahawa hata mahindi huwezi anika mana mgambo wa kijiji wanapita nakutaifisha .Haya yaliwezekani miaka hiyo kabla ya democrasia .Jiulize kodi ya kichwa ilishindikanaje?

Huku JF Kuna watoto wa kina Andrew Chenge ,Muhongo ,Tibaijuka, Werema,Lukuvi,Membe,Samweli Sita,Lowasa na wezi na wakwepa kodi wengine wote.
Hawajui adha inayowapata wale wanaoshindwa kulipa hiyo michango ya kufidia pesa za maendeleo walizoiba baba zao.
Aibu kwa nchi inayotumia sheria kandamizi kwa wanyonge tuu.
 
kuna siku watanzana watajitambua! unalazimisha mtu atoe mchango kutoka wapi? kwenye bajeti yake ya mwezi kwa mishahara hii upo?
 
Ni kosa la jinai kuzuia mipango ya maendeleo ya nchi. Huyu anastahili kufichwa mpaka ajifunze adabu.

Mkuu, kwa Kafulila imekuwa kosa la jinai na hana adabu lkn kwa wezi wa escrow acount ni halali na wana adabu... Ushauri wangu kwako, ni vyema kuwa binadamu mwenye akili timamu na vnginevyo. Hata hivyo mimi naamini we ni mzima kiakili. Imeandikwa kweli yako itakuweka huru daima. 2badilike...
 
Kimsingi,serikali ina wajibu wa kujenga miundombinu mbalimbali kwa wananchi. Kisheria,mwananchi hana wajibu wa kujenga miundombinu kwa njia ya kuchanga. Sababu ni kuwa mwananchi si mkusanya kodi,mtunza fedha na mpanga mipango.

Asante Mkuu

Mkuu, Kuna tofauti gani kati ya kuchagisha maabara na utaratibu wa manamba wakati wa mkoloni?????
 
Mkuu, kwa Kafulila imekuwa kosa la jinai na hana adabu lkn kwa wezi wa escrow acount ni halali na wana adabu... Ushauri wangu kwako, ni vyema kuwa binadamu mwenye akili timamu na vnginevyo. Hata hivyo mimi naamini we ni mzima kiakili. Imeandikwa kweli yako itakuweka huru daima. 2badilike...

Kosa lake ni kuwakosesha mafisadi mlo.Maana wafadhili ndiyo hao wameachia ngazi,sasa pesa itapatikanaje?Xmas ndiyo hiyo,bila pesa wangu,Acha kabisa,za Escrow haziwezi kutumika kwani zinasubiri Uchaguzi 2015
 
Kwanini wanune hadi wamkamate? Si kaongea habari ambayo aliisema pia Bungeni? Tena wengi sana walisema kuwa, wataona aibu kuwaalika wananchi kuchangia ujenzi wa Nchi yao kama Serikali isipochukua hatua kwa wezi wa rasilimali zetu...

Serikali ya CCM nadhani inakimbiza kivuli chake...
 
Wenzenu Kilimanjaro walishachangia maendeleo hadi basi.Sasa hivi wana mashule mazuri na maendeleo kibao sekta za jamii.

Nyie wa kigoma na vumbi na viroboto kwenye miguu mko nyuma kimaendeleo mnahamasishana msichangie maendeleo mtajijua.Wenzenu walishamaliza kuchangia kwenye mikoa yao kama kilimanjaro sasa hivi ni kula kuku na kupiga siasa za bla bla kwenye majukwaa nyumbani kuko vizuri hamna nyumba iliyoezekwa kwa nyasi kama kigoma.

Acheni kuchangia maendeleo mtabaki watumwa wa watu wa kilimanjaro hadi mfe kwa ulofa.

Hapa ndipo nilipokuwa napataka! Hiyo Kilimanjaro unayoisema imechangia nini kujiletea maendeleo kama si upendeleo wa serikali hii ya kichaga ambayo hata wachaga wasio na vyeti wanapata kazi? Kilimanjaro ina nini kuizidi shinyanga mkoa wenye almasi, dhahabu, mifugo, ardhi, watu wenye nguvu na akili? Kanda ya ziwa hakuna hata kiwanda cha cementi, licha ya kuwa na ziwa mikoa ya mwanza, kagera, na mara inazidi kudidimia kwani maiak 50 baada ya uhuru barabara ndio kwanza baadhi zimetoka kumalizika wakati serikali inajenga barabara za kaskazini kila leo. Lami ya kwenda Tarakea imechangiwa na watu wa kilimanjaro? Wakati serikali ikiwajengea barabara wilaya ya rombo iliyo pembeni mkoa wa Tabora haukuwa na hata barabara moja ya lami na usafiri wa treni spana mkononi.

Mkoa wa kigoma una dhahabu, unastawi pamba, kahawa, michikichi ndio usiseme, una mifugo yenye specie ya ajabu, muzi wa asili wanaozaliana watatu watatu ni kawaida, kuna ardhi nzuri mkoa mzima na hali ya hewa isiyoelezeka, ina watu wenye akili pamoja na jitihada za makusudi za kuwadunisha. Kilimanjaro kwa njia za ujanja ujanja, wizi, ujambazi, ukabila ndio vinavyofanya mkoa ule utafune rasilimali za mikoa mingine halafu wanajisifu eti wanachangia maendeleo. Maendeleo kama yapo yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na serikali na historia ya kuwepo makanisa ya rc na kkkt. Ona sa baada ya mirija ya unyonyaji kupunguzwa kama Rombo ni ile rombo ya zamani, magendo yamepungua, biashara ya kuiba magari kenya imepungua, uvushaji bia kwisha labda iliyobaki ni kuvusha mirungi na kuuza mahindi kenya. Muda mrefu watu wamekuwa wakiliaminisha hili la kuchangia maendeleo kilimanjaro lakini ni kiini macho cha kuweza kujilimbikizia miradi toka serikalini kwa pazia la kuchangia maendeleo kama inavyofanyika Katavi leo hii
 
Ní kwa kushawishi wananchi wasichangie michango ya maendeleo Uvinza,Kigoma. Anashikiliwa kituo cha Polisi kwa mahojiano.

Chanzo: Jamaa aliye Kígoma
Namshukuru sana Mungu kwa kuniepusha na kazi ya upolisi , ingekuwa noma sana .
 
Back
Top Bottom