David Kafulila ahamia CHADEMA akitokea NCCR Mageuzi

Kamati kuu ya Chadema ilitoa orodha ya tuhuma za kafulila alipofukuzwa mwanzoni ikiwemo kuwa msaliti! Bila shaka watasema Kafulila ameacha usaliti!
 
Kwa maana hiyo unataka kusema Dr. Tuliza Ackson hafai kuolewa au atakayemuoa atakuwa Bwege?
Mume wa tulia ni mkurugenzi mkubwa sio jobless anayetegemea mkewe alipwe posho za vikao vya bungeni halafu alete wakanunue unga nusu kilo na robo na fungu LA mchicha wale
 
Mume wa tulia ni mkurugenzi mkubwa sio jobless anayetegemea mkewe alipwe posho za vikao vya bungeni hawana alete wakanunue unga nusu kilo na robo na fungu LA mchicha wale
Ukikosa Ubunge ndiyo unakuwa Jobless. Kwa ivo kumbe CCM kuna majobless wengi sana. Maskini Mzee Wasira kumbe ni Jobless!
 
Au tuchukulie mfano nyumbani kwako unakaa na wanawake watatu.. Mkeo, mdada wa kazi na mdogo wake mkeo!
Kuna haja gani kila siku ulale chumbani kwako tu wakati nyumba ina vyumba vingi
Huu mfano unaashiria kwamba wewe ni "Mzee wa Nyatu nyatu"?
 
Kahamia kwa mkewe si unajua mkewe ni mbunge wa viti maalumu Chadema.Mama akiwa na kazi au nyumba mwanaume Ukawa huna kazi au nyumba kuhamia kwa mke ili maisha yaendelee si kitu cha ajabu.Na kila ukiamka huko ulikohamia lazima kila asubuhi umwamkie mke Shikamoo mke wangu maana ndie anakuweka mjini.
Hayo yako huko kwenu, mke kwenu ni kitega uchumi na kama hana kazi wakati mwingine mnapiga mpaka analazwa hospitali mahututi
 
Ukikosa Ubunge ndiyo unakuwa Jobless. Kwa ivo kumbe CCM kuna majobless wengi sana. Maskini Mzee Wasira kumbe ni Jobless!
Kwani kafulila anafanya shughuli IPI ya kumpa kipato asije kimbiwa na mke kwa kushindwa kununua kilo ya unga na walau fungi LA dagaa LA elfu moja
 
Kwani kafulila anafanya shughuli IPI ya kumpa kipato asije kimbiwa na mke kwa kushindwa kununua kila ya walau fungi LA dagaa LA elfu moja
Acha kufuatilia maisha ya watu. Kwa mfano kabla ya Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa wewe ulijua alikuwa anafanyakazi gani?
 
Kaenda kwa mkewe, sioni kama ita muimarisha yeye kisiasa bali ita msaidia mkewe zaidi.

Halafu kama wote NCCR na CDM ni UKAWA kuna haja gani ya Kafulila kuhama!? Au ndio umoja wa mashaka wenyewe!!
Haka kajamaa ni kichwa sana..nimependa alivyotoa sababu ya nzuri kabisa tena yenye mashiko na inaweza kuimarisha zaidi UKAWA.
"Nimeona kuwa kuna mahitaji ya watu wenye nia ya mabadiliko kuwa katika chama kimoja ili kufupisha safari.
Hata mimi nilijiuliza kama wewe ila hiyo sababu imemaliza swali langu
 
Back
Top Bottom