Wakili Mwabukusi: Nilikuwa Dereva wa Daladala Arusha, nikasoma Sheria OUT, nikaajiriwa Serikalini baadae nikaacha nikajiunga CHADEMA, nikahamia NCCR

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,149
Kichwa cha Uzi kinajieleza

Wakili Mwabukusi alikuwa Dereva wa Daladala Arusha na baadae akajiendeleza pale Open University na kutunukiwa degree ya Sheria.

Alifanya Kazi ofisi ya mwanasheria wa Serikali na alipoboreka aliacha Kazi kwa Notice ya saa 24 na kuilipa Serikali gharama.

Akarudi mtaani na akawa anafanya kazi na ofisi ya Mawakili ya Desouza kabla hajafungua kampuni yake.

Kisiasa amewahi Kuwa Mwanachama wa Chadema na alipoboreka alihamia NCCR Mageuzi ambako mwaka 2020 aligombea ubunge na kushinda ila akatangazwa Mbunge mwingine wa mchongo.

Mungu wa mbinguni awabariki!
 
Mwabukusi ni "MBUNGE WA MBEYA YOTE", huyu wakili hata kwetu sisi akija mahakamani huwa lazma tujipange, ana hoja na anajua kutafsiri sheria, achana na hao mnao-waita ma-dokta wa mchongo.

Natamani sana angekuwa Msukuma mwenzangu tungemchukulia fomu agombee huku Kishapu, huku tuna "................", yaani au akigoma kabisa basi agombee UKONGA akatoe kale kamdoli kanavaa miwani kanakojiona ni kila kitu, mara kanabeba mivitabu mengi lakini hakajui content, kambulu flani kalimbukeni ka'jiji.
 
Kichwa cha Uzi kinajieleza

Wakili Mwabukusi alikuwa Dereva wa Daladala Arusha na baadae akajiendeleza pale Open University na kutunukiwa degree ya Sheria.

Alifanya Kazi ofisi ya mwanasheria wa Serikali na alipoboreka aliacha Kazi kwa Notice ya saa 24 na kuilipa Serikali gharama.

Akarudi mtaani na akawa anafanya kazi na ofisi ya Mawakili ya Desouza kabla hajafungua kampuni yake.

Kisiasa amewahi Kuwa Mwanachama wa Chadema na alipoboreka alihamia Nccr Mageuzi ambako mwaka 2020 aligombea ubunge na kushinda ila akatangazwa Mbunge mwingine wa mchongo.

Mungu wa mbinguni awabariki!
Hata Mwambukusi anajua wahuni wamejaaamooo😂😂😂
 
hahaaaa kumbe ndiyo maana akili zake hazimtoshi maana kuacha serikalini na kuja kujiunga na chadema ?? uchizi kabisa huo nako akashindwa na kwenda tena kwenye genge la wahuni wengine kina mbatia?? sasa ndiyo kajichanganay kabisa mpaka anafungua kesi zisizo na mashiko kuishitaki serikali akishinda nahama tanzania niko paleeeeee
 
Kwakuwa mgeni najua utarudimoo nyumbani kwenu🤔
 
Kichwa cha Uzi kinajieleza

Wakili Mwabukusi alikuwa Dereva wa Daladala Arusha na baadae akajiendeleza pale Open University na kutunukiwa degree ya Sheria.

Alifanya Kazi ofisi ya mwanasheria wa Serikali na alipoboreka aliacha Kazi kwa Notice ya saa 24 na kuilipa Serikali gharama.

Akarudi mtaani na akawa anafanya kazi na ofisi ya Mawakili ya Desouza kabla hajafungua kampuni yake.

Kisiasa amewahi Kuwa Mwanachama wa Chadema na alipoboreka alihamia Nccr Mageuzi ambako mwaka 2020 aligombea ubunge na kushinda ila akatangazwa Mbunge mwingine wa mchongo.

Mungu wa mbinguni awabariki!
Acheni kumpa bichwa, atagongwa nyundo makalioni. Mkataba lazima utekelezwe
 
Kichwa cha Uzi kinajieleza

Wakili Mwabukusi alikuwa Dereva wa Daladala Arusha na baadae akajiendeleza pale Open University na kutunukiwa degree ya Sheria.

Alifanya Kazi ofisi ya mwanasheria wa Serikali na alipoboreka aliacha Kazi kwa Notice ya saa 24 na kuilipa Serikali gharama.

Akarudi mtaani na akawa anafanya kazi na ofisi ya Mawakili ya Desouza kabla hajafungua kampuni yake.

Kisiasa amewahi Kuwa Mwanachama wa Chadema na alipoboreka alihamia Nccr Mageuzi ambako mwaka 2020 aligombea ubunge na kushinda ila akatangazwa Mbunge mwingine wa mchongo.

Mungu wa mbinguni awabariki!
Neno "mbunge wa mchongo linanikera sana" in Mzee wa kujifukiza's voice!!
 
Kichwa cha Uzi kinajieleza Wakili Mwabukusi alikuwa Dereva wa Daladala Arusha na baadae akajiendeleza pale Open University na kutunukiwa degree ya Sheria. Alifanya Kazi ofisi ya mwanasheria wa Serikali na alipoboreka aliacha Kazi kwa Notice ya saa 24 na kuilipa Serikali gharama. Akarudi mtaani na akawa anafanya kazi na ofisi ya Mawakili ya Desouza kabla hajafungua kampuni yake. Kisiasa amewahi Kuwa Mwanachama wa Chadema na alipoboreka alihamia Nccr Mageuzi ambako mwaka 2020 aligombea ubunge na kushinda ila akatangazwa Mbunge mwingine wa mchongo. Mungu wa mbinguni awabariki!

Huyu ndio maana akili zake ni kama dereva au konda wa daladala. Asante kwa kutufahamisha.
 
Mwabukusi ni MBUNGE WA MBEYA YOTE, huyu wakili hata sisi akija mahakamani huwa lazma tujipange, ana hoja na anajua kutafsiri sheria achana na hao mnaowaita ma-dokta wa mchongo.
Natamani sana angekuwa Msukuma mwenzangu tungemchukulia fomu agombee huku Kishapu, huku tuna ".........",yaani au akigoma kabisa basi agombee temeke akatoe kale kamdoli kanavaa miwan kanakojiona ni kila kitu, mara kanabeba mivitabu mengi lakini hakajui content, kambulu flani>
Hivi hako kamdoli siyi kabunge ka Ukonga kweli!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kichwa cha Uzi kinajieleza

Wakili Mwabukusi alikuwa Dereva wa Daladala Arusha na baadae akajiendeleza pale Open University na kutunukiwa degree ya Sheria.

Alifanya Kazi ofisi ya mwanasheria wa Serikali na alipoboreka aliacha Kazi kwa Notice ya saa 24 na kuilipa Serikali gharama.

Akarudi mtaani na akawa anafanya kazi na ofisi ya Mawakili ya Desouza kabla hajafungua kampuni yake.

Kisiasa amewahi Kuwa Mwanachama wa Chadema na alipoboreka alihamia Nccr Mageuzi ambako mwaka 2020 aligombea ubunge na kushinda ila akatangazwa Mbunge mwingine wa mchongo.

Mungu wa mbinguni awabariki!
Yaani wewe mkinga ni mjinga ukishapiga ulanzi wako
 
Back
Top Bottom