David Kafulila ahamia CHADEMA akitokea NCCR Mageuzi

David Kafulila ahamia CHADEMA akitokea NCCR Mageuzi

Nguo ndio ile ile umeibadilisha tu nje kuiweka ndani bado ingali chafu tu, bora kuifua au kubadilisha nyengine.
 
Kafulila ahama NCCR, ahamia Chadema
Dar es Saam. Mbunge wa zamani wa Kigoma Kusini, (NCCR-Mageuzi) David Kafulila, amekihama chama hicho huku akieleza kuwa anajiandaa kuhamia Chadema.

Kafulila alithibitisha taarifa hizo na kusema tayari ameshawasilisha barua ya kujivua uanachama wa NCCR na kujiunga Chadema leo.

“Nimewashukuru kwa kuwa pamoja katika kujenga chama na nafasi ya uenezi waliyonipa mara zote. Nimeweka wazi kuwa natarajia kujiunga na Chadema. Nimeona kuwa kuna mahitaji ya watu wenye nia ya mabadiliko kuwa katika chama kimoja ili kufupisha safari.” alisema

View attachment 446944

SOURCE: Mwananchi
UKAWA WANAJITAFUNA WENYEWE KWA WENYEWE.
 
apewa heko zote
 
Japo ni vigumu kukubaliana lakini wakati huu ulikuwa ni mzuri sana na muda sahihi wa vyama vya siasa vya upinzani wa kweli kukaa pamoja, kuweka mikakati ya pamoja, yenye lengo la kuwa na chama kimoja cha upinzani chenye nguvu.
 
Hapo amehama nn katoka ukawa kaenda ukawa kamkimbia mbatia kaenda kwa mbowe duu katoka chooni kakimbilia bafuni
 
mwishooo wanahamiiiaaa

CHAMA CHA MAPINDUZI
 
Kaenda kwa mkewe, sioni kama ita muimarisha yeye kisiasa bali ita msaidia mkewe zaidi.

Halafu kama wote NCCR na CDM ni UKAWA kuna haja gani ya Kafulila kuhama!? Au ndio umoja wa mashaka wenyewe!!
Kweli.
 
Back
Top Bottom