Kakumamoto
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,670
- 2,563
Huenda Lisu anakaribia kutoka jela, sasa lengo ni kumtumia mtu wa karibu kumduru afe pole pole. Hesabu zimekataa jinsi ya kumchukua kisiri matokeo yake utekaji wao umejulikana. Upuusi kama Upuusi.