david djumbe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtu mbalimbali

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Allan Macha (rafiki wa David Djumbe) " David Djumbe alitekwa pamoja na gari yangu".

    Allan Macha (Rafiki wa David Djumbe) aelezea mkasa halisi wa tukio la kutekwa msaidi wa Lissu , David Djumbe.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Jinsi David Djumbe "alivyotekwa" na kuwakimbia "watekaji" akiwa na pingu

    Mei 20, 2026 kulitokea tukio linalodhaniwa kuwa la utekaji wa David Djumbe ambaye ni msaidizi wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Hata hivyo, imeelezwa kuwa, Djumbe alifanikiwa kuwatoroka watekaji waliojitambulisha kuwa ni maofisa wa polisi. Akisimulia tukio hilo, David Djumbe amesema...
  3. Inside10

    JamiiForums Tanzania David Djumbe (Msaidizi wa Lissu) atekwa

    Msaidizi wa Tundu Lissu, David Djumbe inadaiwa ametekwa usiku huu na wanaodhaniwa kuwa Maafisa wa Usalama wa Taifa ambao walikuwa na silaha za moto. Djumbe ametekwa akiwa nje ya geti la nyumbani kwake, maeneo ya Bunju Dar es Salaam. Wananchi waliokuwa wanalikimbiza gari hilo lililomteka...
Back
Top Bottom