Daudi Mwakawago afariki Dunia

Daudi Mwakawago afariki Dunia

Status
Not open for further replies.
Sasa kwa nini huwa kila ukiona Sikonge, lazima uweke vicomment vyako?

Si uchane na mie kama sikulishi wala sileti effect yoyote? Ila kila ukiona jina langu basi udenda unakutoka na kuanza kuleta maneno kibao. Wee ukiona Sikonge, achana kabisa na hili jina tukufu, jina pekee lisomekalo tofauti na kibantu yaani SAIKONG...... or call it black Islands.

Ukiona Saikong, wee pitia mbali kabisaaaa........
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=3q0gqpOyx9o&feature=related"]YouTube- Tupac I Ain't Mad At Cha[/ame]

Dunia yangu itakuwa njema sana kama utakaa mbali kabisa na mie.

Dume kujiita jina la kike na kuandika kike kike, ni ishara tosha ya mtu anayeishi Mombasa style.
 
- Bwana ametoa na bwana ametwaa, lihimidiwe jina la Mungu, Rest in peace Balozi Daudi Mwakawago.

- Na wote wengine tuko njiani, ninamkubuka siku moja akiniambia kwamba huu ni msemo rahisi sana kuusema tu, lakini sio kuutafakari kwa binafsi maana ingekua rahisi basi kusingekua na vilio wakati wa misiba.

- Mungu Amlaze Pema Peponi.

Respect.

FMEs!
 
Sikonge,
Yamekuwa haya kaka yangu? Na hiyo vidio uliyoweka ya Tupak mbona ni ya kusamehe?Nilipokuwa na hasira na mtu nilikuwa naipiga hiyo rekodi na kupata moyo wa kusamehe. Yaishe basi.
 
Sasa kwa nini huwa kila ukiona Sikonge, lazima uweke vicomment vyako?

Si uchane na mie kama sikulishi wala sileti effect yoyote? Ila kila ukiona jina langu basi udenda unakutoka na kuanza kuleta maneno kibao. Wee ukiona Sikonge, achana kabisa na hili jina tukufu, jina pekee lisomekalo tofauti na kibantu yaani SAIKONG...... or call it black Islands.

Ukiona Saikong, wee pitia mbali kabisaaaa........
YouTube- Tupac I Ain't Mad At Cha

Dunia yangu itakuwa njema sana kama utakaa mbali kabisa na mie.

Dume kujiita jina la kike na kuandika kike kike, ni ishara tosha ya mtu anayeishi Mombasa style.

Hii ni public forum mkuu,kwahiyo usitegemee ukaandika upupu wako hapa halafu tukakuacha tu ukawapotosha na wengine.

Kama yamekushinda ni bora ukaacha kuchangia Mkuu manake naona ndiko unakoelekea huku.Hoja huna umebaki kuandika matusi tu.Kubwa zima miaka karibu 50 lakini hovyo,busara sifuri.

Hiyo ya Mombasa naona una experience nayo nzuri manake waswahili wanasema msimulia mvua ujue imeshamnyea huyo..Mkuu ulishanyea watu huko Mombasa nini??
 
Sikonge,
Yamekuwa haya kaka yangu? Na hiyo vidio uliyoweka ya Tupak mbona ni ya kusamehe?Nilipokuwa na hasira na mtu nilikuwa naipiga hiyo rekodi na kupata moyo wa kusamehe. Yaishe basi.

Kheeee....na wewe unamsikilizaga Tupac? Lol....kumbe mzee kijana wewe eeeh
 
Sikonge,
Yamekuwa haya kaka yangu? Na hiyo vidio uliyoweka ya Tupak mbona ni ya kusamehe?Nilipokuwa na hasira na mtu nilikuwa naipiga hiyo rekodi na kupata moyo wa kusamehe. Yaishe basi.

Mkuu Jasusi,

Ilibidi nimalizie hivyo. Jamaa amekuwa akinifuatafuata tangu siku nyingi sana kutaka kufahamu mie ni nani. Kahangaika wee utafikiri hana la kufanya. Jamaa mmoja aliniambia nikitaka nimfahamu basi watanisaidia kumsaka na kumfahamu yeye ni nani ila nikaona hiyo ni biashara ya kike. Na hakutakuwa na tofauti kati yangu na yeye. Mwakalinga pia alitaka kufuatilia hili ila nikampiga stop.

Anyway, wanasema ukichukuliwa nguo zako na kichaa wakati unaogelea, na wewe ukatoka nje ya maji uchi kumfukuza, wewe ndiyo unakuwa kichaa. Ujumbe kashaupata, scheise, scheise, scheise......

Naombeni niende Extenal: (Tunaoheshiana, ishieni hapa.)
Veve nyanda, mashikolo gamwa nnoko. Pizda tvui mat, du dumkopf ......!!!!!!!! IQ nyingi zitasaidia kuelewa maana yake, Kichaga hapa hakioni ndani........
 
Mtu akufuate fuate unakunya mafuta?Akujue ili imsaidie nini?Hii ni sehemu ya kubadilishana mawazo na kuelimishana na rules zinasema huruhusiwi ku speculate ID ya mwingine.Hapa ukiletwa mchango wowote unajadiliwa na mtu yeyote.Kama kuna hoja utapewa thanks,kama viroja utapewa viroja vilevile.
Wengine ndiyo mnasaidia kumpa nguvu Dr.Watson na ule msemo wake wa Miafrika ina...
 
Nilikuwa nategemea mtu mwenye IQ kubwa ataelewa umuhimu wa KUICHANGIA JF kabla hata hajakumbushwa...... Dezo dezo.

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=fMxdRG2oLxo"]YouTube- Tshala Muana - Dezo Dezo[/ame]
 
RIP Daud Ngelautwa Mwakawago,

Huyu alikuwa mtu mzima sana, na kwa mila za kiafrika hasa Wahehe alipaswa kuzikwa nyumbani kwake (kijijini). Sijui kwanini haikutokea hivyo?. Siku za nyuma sana (miaka kama 15 hivi) niliwahi kusikia alikuwa hana nyumba kijijini kwao.
 
- Mkuu wangu, ni kwamba walikuwa wanamtafuta siku nyingi sana kumuondoa, lakini Kawawa alikuwa anawazuia kwa sababu hakuona sababu ya msingi, lakini hawa wajanja wakamzungukia kwenye bajeti ya Wizara ya nje, wakamtumia Kimiti aliyedai specifically kwenye kamati ya nje kwamba Mwakawago, Nyag'anyi na Sarakikya wasiporudishwa, bajeti haipiti,

- Mkuu Jasusi hili taifa tuna mafia sana wa kichini chini can you imagine hizi schemes utafikiria wanauchungu na taifa kumbe ni ujanja ujanja tu! Aliniambia jinsi walivyomkatalia kabisa kumuona Mkapa na huyu wa sasa yeye Marehemu ndiye aliyempeleka Tunduru kutoka Dodoma, yaani alikuwa hataki kabisa hata kumsikia, sasa subiri uwaone kwenye mazishi na unafiki wao!

Respect.

FMEs!
Ndio Taifa letu lilivyo! Unafiki sijui nani ndio muasisi wake lakini umeshika hatamu kuliko hata ujamaa aliuasisi Nyerere.Lol
 
by the way foreign mambo si shwari\\eti wanatafuta applications za kazi senye jina langu ...apparently kuna mtu aliwaambia eti niliwahi kuomba kazi kule\\shughli kweli kweli sasa huyo mtu ambaye membe anampigia debe hawampendi na yeye ana ngangania jina lake lazima liwemo\\shughuli kweli kweli

btw\\poleni wanafamilia wa marehemu
 
Poleni sana familia ya Mwakawago, ndugu, jamaa na marafiki zake wote kwa msiba mkubwa wa Mzee Daud Mwakawago. Mungu alimleta duniani, nae amemchukua. Nawaombea mpate nguvu za kuvumilia na kuenzi yote mema aliyowaachia.

May God rest his soul in eternal peace.
 
Inasikitisha kuna watu bado wanaona ni sawa kwa viongozi kusafirishwa kwenda kutibiwa nje huku mamilioni ya Watanzania hawana hata Asprin.

Ni mawazo mufilisi kweli na aibu kwa taifa letu. Lini tutaelewa kwamba lazima tutengeneze vyetu kwanza kabla ya kukimbilia kwenye vya wenzetu?
Mkuu masikitiko yako ni sahihi kiasi.

Ila sio vyema watu wafe wakisubiri kutengeneza vya kwetu. Kwakuwa hivyo vyetu havipo kwa sasa, ni lazima kila mwenye uwezo ya kuokoa maisha yake afanye hivyo kwa namna yoyote. Hata kama itabidi kupeleka watu kutibiwa nje na kwa gharama kubwa.

Hainiingii akilini kudhani kuwa kutopeleka watu kutibiwa nje eti kwasababu hatujajenga vyetu, ni uzalendo. Mimi naona ni upuuzi hasa kama watu hao watapoteza maisha yao.
 
ingawa jana knye magamba umekumbukwa

R I P

ungelikuwa hai ungelikuwa na la kujibu
 
Mambo mengine yanachekesha sasa jana tu kutajwa na EL leo watu wameanza kumrestisha in peace upya!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom