Dah! Wazee hawa wanakufaga bila kufunguka. Kwa nini alikufa nayo haya na hatimaye JK akawa Rais wetu? Hakuwahi kuyasimulia popote? Waliokuwa Zanzibar kwenye kikao kile watumegee kidogo. Wapo wengi tu bado.Sasa EL anatumia marehemu kama mashahid wake? Hii Waisilamu wanaita Ahla Al-Badr! Wanasiasa bwana!
Mwacheni Mzee Mwakawago apumzike kwa amani.
Mambo mengine yanachekesha sasa jana tu kutajwa na EL leo watu wameanza kumrestisha in peace upya!
wengine hatukutoa heshima za mwisho,
kuna wengi sana watakufa kama huyu jamaa
1. Edward lowasa
2. Samweli sita
3. Mwakyembe
hawa wana siri za rich mondi naamini watakufa nazo kimya kimya bora wafunguke mapema kabla hawajaRIP
Baadhi yenu mnadhani thread hii ni ya leo?kheee jana si umetajwa na EL...khee pumzika malaflaye...
Jamani mzee Paul Sozigwa ...yupo hai ...Huyo ndie aliyebeba faili la hisia Chanya za jamii dhidi ya "chaguo la Mungu" mwaka 2005.........kitu cha kwanza Alichomfanyia Jk baada ya kushinda urais nu kumuondoa kabisa kwenye utumishi wa chama .........alikuwa kwenye idara Kama za maadili,usalama,uenezi na propaganda.....na ni mtu mwadilifu sana....
Jk amehakikisha Paul Sozigwa ...anapata mkaa Kali ..yupo kwake Temeke ..hata pesa ya klorokwini Hana........waandishi Huyu ni mwanahabari mwenzenu anamyamyasika...nani hata ameshamtafuta kumhoji Yake ya moyoni...au mnataka AFE nayo..?....atuambie like faili la Jk lilikuwa na nini....maana nasikia Jk amehakikisha mafaili Yake yote kule usalama .,jeshini na ndani ya chama yanaharibiwa ili kuficha fedheha...
Inasikitisha sana kuona Tanzania wazee wetu hawana tabia za kuandika kumbukumbu zao. Philip Mangula naye alitemwa na Kikwete kwa sababu hiyo hiyo ya Paul Sozigwa. Hawa ni watu wa kuhojiwa ili kizazi hiki kipate ukweli wa madudu aliyoyafanya bwana Smile mpaka akaja kuwa rais wetu. We have the right to knowJamani mzee Paul Sozigwa ...yupo hai ...Huyo ndie aliyebeba faili la hisia Chanya za jamii dhidi ya "chaguo la Mungu" mwaka 2005.........kitu cha kwanza Alichomfanyia Jk baada ya kushinda urais nu kumuondoa kabisa kwenye utumishi wa chama .........alikuwa kwenye idara Kama za maadili,usalama,uenezi na propaganda.....na ni mtu mwadilifu sana....
Jk amehakikisha Paul Sozigwa ...anapata mkaa Kali ..yupo kwake Temeke ..hata pesa ya klorokwini Hana........waandishi Huyu ni mwanahabari mwenzenu anamyamyasika...nani hata ameshamtafuta kumhoji Yake ya moyoni...au mnataka AFE nayo..?....atuambie like faili la Jk lilikuwa na nini....maana nasikia Jk amehakikisha mafaili Yake yote kule usalama .,jeshini na ndani ya chama yanaharibiwa ili kuficha fedheha...
Are you serious Mh Dada Regia?Apumzike kwa amani.Sikubahatika kumfahamu hata chembe hata jina lake ndio nalisikia leo.
RIP mzee wetu mwakawago,nakumbuka alitoa mchango mzuri kwenye kongamano la mwalimu Nyerere foundtion lililofanyika mwishoni mwa mwaka jana amabalo viongozi wetu wengi walilibeza sana.
Inasikitisha sana kuona Tanzania wazee wetu hawana tabia za kuandika kumbukumbu zao. Philip Mangula naye alitemwa na Kikwete kwa sababu hiyo hiyo ya Paul Sozigwa. Hawa ni watu wa kuhojiwa ili kizazi hiki kipate ukweli wa madudu aliyoyafanya bwana Smile mpaka akaja kuwa rais wetu. We have the right to know