Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,092
- 43,265
duh.. siku nyingine ya huzuni kwa taifa letu. Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi. Amina.
..Huyu mzee inasemekana hakuwa muumini wa dini yoyote wakati wa uhai wake (pagan) hata wakati wa kuapishwa enzi za JK Nyerere yeye hakushika bible wala msahafu na mwenzie Kingunge.......RIP M/kawago!!
RIP Mzee Mwakawago, kwa wale tuliokuwa Freetown enzi hizo akiwa USG-UNAMSIL, tutamkumbuka kwa kuitisha vikao vya watanzania nyumbani kwake maeneo ya Aberdeen, kwa kweli alituunganisha vizuri sana, ni majonzi makubwa
FMES,
Nimekusikia mkuu wangu. Ndiyo maana nimesema Mwakawago alikuwa a class act.
Alipomaliza muda wake UN aliomba kuonana na Mkapa Ikulu Mkapa akakataa eti anakuja kuomba kazi. Kumbe jamaa alikuwa kishapata kazi ya UN. Hawakumtendea haki, lakini sishangai kwa sababu hakuwa fisadi mwenzao..
FMES.. si unakumbuka majuzi tulipokuwa tunazungumza nikawa naulizia mzee huyo ameishia wapi tena.. sasa wazee wenyewe ndio hao wanaondoka taratibu..
- Mkuu MMJ, ni kweli lakini knowing him as I do, afya yake haikuwa nzuri sana siku zote na serikali haikuwa na utaratibu wowote wa kumsaidia, hata ule msaada mdogo sana aliokuwa nao through ubalozi wake, uliiisha pale pale alipotolewa kazi, inasikitisha sana maana hawa ndio dhahabu ya taifa. I mean hakuwa mzee kabisa, alikuwa bado saaana!
- Unajua nilinasa dataz za siri sana toka Jumanne kwamba huko magogoni kulikuwa na a big debate among the powers kama marehemu awe airlifted to Nairobi au ney!, sasa kama amefia Agha Kan ina maana the neys! zilikuwa nyingi zaidi ya the Isss!, ni aibu sana!
Respect
FMEs!
FMES, hiyo hapo bolded ni partially true.
Kweli kulikuwa na mjadala na haukuwa siri, ulikuwa wa wazi tu. Familia yake kupitia kwa vigogo wenzie akina Mungai, Kitine, Mkwawa, etc walikuwa katika utaratibu wa kumpeleka aidha Nairobi au India kwa matibabu zaidi. Nadhani walihusisha Magogoni pia, sina hakika sana na hili.
Akiwa ICU pale Aga Khan juzi j'pili, ilionekana kuwa isubiriwe hali yake iwe nzuri kidogo kabla ya kusafirishwa. Mapenzi ya Mungu yametangulia mipango ya wanadamu.
Anategemea kuzikwa Ijumaa makaburi ya Kisutu.
Peace. Naingia mitini tena.
- Mkuu MMJ, ni kweli lakini knowing him as I do, afya yake haikuwa nzuri sana siku zote na serikali haikuwa na utaratibu wowote wa kumsaidia, hata ule msaada mdogo sana aliokuwa nao through ubalozi wake, uliiisha pale pale alipotolewa kazi, inasikitisha sana maana hawa ndio dhahabu ya taifa. I mean hakuwa mzee kabisa, alikuwa bado saaana!
- Unajua nilinasa dataz za siri sana toka Jumanne kwamba huko magogoni kulikuwa na a big debate among the powers kama marehemu awe airlifted to Nairobi au ney!, sasa kama amefia Agha Kan ina maana the neys! zilikuwa nyingi zaidi ya the Isss!, ni aibu sana!
Respect
FMEs!
-

kwa tunavyomjuwa mkwere na visasi ..bahati hiyo asingeweza kuipata asilani...mkulu huyu alipokuwa mtendaji mkuuu pale Lumumba miaka ya 80.....alimdemote Jamaa ...kutoka idara ya usalama kwenye chama..hadi wilayani tabora,singida,na lindi,,,etc....katika lile kongamano ni kati ya walio piga mawe saana...