Date na mwanamke mzuri ila usioe mwanamke mzuri

Katika maisha ukitaka upate mafanikio ya haraka na kuondokewa na msongo wa mawazo yasiyo ya lazima basi hakikisha una date na warembo wakali wa kila namna kadri upendavyo lakini chonde chonde usithubutu kuoa mwanamke mzuri tena hasa ukiwa hauna hela ,hapo utakuwa hujamuoa wewe bali umewaolea wenzako.

Msichana mzuri mchezee tu kisha muache ,ukitaka kuoa oa mwanamke wa wastani sio mzuri sio mbaya utafanikiwa sana maishani.
Mkuu mwanamke mzuri ni yupi kama hutojali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mkuu. Subiri wenyewe waje kukumwagia mapovu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom