Date na mwanamke mzuri ila usioe mwanamke mzuri

Date na mwanamke mzuri ila usioe mwanamke mzuri

Ukimiliki kizuri kitakupa changamoto za kutafuta zaidi na mafanikio utayaona...

Ukiwa na mwanamke mzuri:
1. Hataki nyumba ya kupanga. Utajitahidi utajenga.
2. Hataki kutembea kwa miguu. Utajitahidi utanunua usafiri.
3. Hataki maisha ya kuunga unga.. Utajitahidi mara zote uwe nazo..



Cc: mahondaw
Utumwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimiliki kizuri kitakupa changamoto za kutafuta zaidi na mafanikio utayaona...

Ukiwa na mwanamke mzuri:
1. Hataki nyumba ya kupanga. Utajitahidi utajenga.
2. Hataki kutembea kwa miguu. Utajitahidi utanunua usafiri.
3. Hataki maisha ya kuunga unga.. Utajitahidi mara zote uwe nazo..



Cc: mahondaw
Utajikuta unaiba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me huwa nawacharaza alafu napoteaga... Sio wanawake wa kupanga nao deal... Wale special kwa starehe... Tuoe materials...
Wazuri weng vilaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika maisha ukitaka upate mafanikio ya haraka na kuondokewa na msongo wa mawazo yasiyo ya lazima basi hakikisha una date na warembo wakali wa kila namna kadri upendavyo lakini chonde chonde usithubutu kuoa mwanamke mzuri tena hasa ukiwa hauna hela ,hapo utakuwa hujamuoa wewe bali umewaolea wenzako.


Msichana mzuri mchezee tu kisha muache ,ukitaka kuoa oa mwanamke wa wastani sio mzuri sio mbaya utafanikiwa sana maishani.
Uzuri ni mtizamo kaka ,unayemuona takataka mwenzako hapati usingizi huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • BWj7MmLF_yl.jpg
    BWj7MmLF_yl.jpg
    85.4 KB · Views: 41
Sikuizi hakuna mwanamke mbaya wote wazuri,kwenye ndoa tuombe mwenyezi mungu atupe wenza wenye kheir na kukinai,awe mbaya tabu awe mzuri tafran,huyo unae muona mbaya wewe au wawastani unaweza kushanga akawa analala na shamba boy au driver wako,sasa utajiuliza kua humridhishi? nini amefata kwa driver au kwa shamba boy wakati wewe ni mtanashati huna unachomnyima kwa unavyodhani tuombe mungu tuu atupe mwenye kheir usiache kuchukua mke mzuri akakupa reason yakurudi home mapema kisa utaolea wenzio hata huyo wa wastani nae pia anaweza kuigawa kama pipi au kama ameiyazima...
 
Kuna jamaa kaoa 'poly' lakini ajabu huyo poly ni balaaa anagawa! So, sio uzuri wala sura ni ,TABIA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom