BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,323
- 7,922
Mambo ya kizamani aya,..
Kama unasimamisha sawa kisawa,unaweza kugonga mwanamke.
Naomba uniambie tofauti ya mwanamke mbaya na mzuri ni nin?Unaoa mwanamke mbaya haingiliki popote iwe kanisani iwe msiban iwe kwenye sherehe taabu tupu...wanawake ni walewale bora kupata stress toka kwa mke mzuri kuliko kupata stress toka mke mbaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenena mkuuUsioe wadada wa mjini wala bata
Mpe tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama unasimamisha sawa kisawa,unaweza kugonga mwanamke.
Na kama nikiamua unaweza kweli kunigonga...
Tuko pamojaUmenena mkuu
Alieanza kutangaza mpaka tigo huyo!!!aqkhuuu mie airtelMpe tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kutojiamini at its bestKatika maisha ukitaka upate mafanikio ya haraka na kuondokewa na msongo wa mawazo yasiyo ya lazima basi hakikisha una date na warembo wakali wa kila namna kadri upendavyo lakini chonde chonde usithubutu kuoa mwanamke mzuri tena hasa ukiwa hauna hela ,hapo utakuwa hujamuoa wewe bali umewaolea wenzako.
Msichana mzuri mchezee tu kisha muache ,ukitaka kuoa oa mwanamke wa wastani sio mzuri sio mbaya utafanikiwa sana maishani.
Alieanza kutangaza mpaka tigo huyo!!!aqkhuuu mie airtel
Hata usipoamua atakugonga tu.Kama unasimamisha sawa kisawa,unaweza kugonga mwanamke.
Na kama nikiamua unaweza kweli kunigonga...
NdiyoMsaada tutani
Hivi kufanya mapenzi kinyume na maumbile ni ujanja(tigo)
Sent using Jamii Forums mobile app