Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,342
- 34,747
- Thread starter
- #21
Nipe namba yake,ndogo si anatoa?Anapenda ngawila kama unaweka ngawila kwenye pochi kaa mbali
Nipe namba yake,ndogo si anatoa?Anapenda ngawila kama unaweka ngawila kwenye pochi kaa mbali
Wazuri waje kwangu si kwa ubaguzi huuSasa wazuri waolewe na nani?
zimefanyaje?Hofu,woga na kutojiamini
Wazuri ni wakutoa huduma tu.. Au kuwa mchepuko..Sasa wazuri waolewe na nani?
Tena wengi wao ndyo michepukoWazuri ni wakutoa huduma tu.. Au kuwa mchepuko..