Date na mwanamke mzuri ila usioe mwanamke mzuri

Date na mwanamke mzuri ila usioe mwanamke mzuri

Unaoa mwanamke mbaya haingiliki popote iwe kanisani iwe msiban iwe kwenye sherehe taabu tupu...wanawake ni walewale bora kupata stress toka kwa mke mzuri kuliko kupata stress toka mke mbaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhhahhaha [emoji23][emoji23][emoji23] i feel u chief, poleh
 
100% hebu agiza mznga hapo
Kwa bili yang

Nmejarbu kuona kama
Naweza kuoa mtt mzur lakin
Imenishinda aiseee
Kweli kizur n cha starehee

Mwajuma,aisha,asha ngedere,
Wale ndo hawa hakuna hata
Anae angaika nao kukuchapia

[Color= yellow]Triple A[/color]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzuri kwako mbaya kwa mwenzio so tutaolewa tu na ukitegemea hakuna kipimo maalum cha mgu kuwa mzuri
 
Katika maisha ukitaka upate mafanikio ya haraka na kuondokewa na msongo wa mawazo yasiyo ya lazima basi hakikisha una date na warembo wakali wa kila namna kadri upendavyo lakini chonde chonde usithubutu kuoa mwanamke mzuri tena hasa ukiwa hauna hela ,hapo utakuwa hujamuoa wewe bali umewaolea wenzako.


Msichana mzuri mchezee tu kisha muache ,ukitaka kuoa oa mwanamke wa wastani sio mzuri sio mbaya utafanikiwa sana maishani.
Nyoooo kwa taarifa ako hakuna mwanamke mbaya........lione
 
(msichana mzuri mchezee tuu kisha Muache) ok.... nawewe dada zako na wanao wa kike watachezewa vivyo hivyo! Utavuna ulichopanda!
 
Nyoooo kwa taarifa ako hakuna mwanamke mbaya........lione
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mleta mada pov linakusubr huku

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Nyoooo kwa taarifa ako hakuna mwanamke mbaya........lione
Ni kweli kabisa...... kwa maana hii...kipimo cha uzuri ni upeo wa macho na fikra zilikofikia, unamuona mbaya kwako kwa mwingine ni kama miss vile na unayemuona kwako mzuri kwa wengine hata hawavuti

I BLNG 2 JESUS CHRST
 
Kijana acha woga,oa mke mzuri
upate kitu roho yako inapenda,
na pia uzae watoto wazuri.
Kuchapiwa ni mojawapo ya siri
za ndani ya nyumba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom