Manstone
JF-Expert Member
- May 12, 2013
- 516
- 315
kama huyu
mkuu nipe namba yake .
kama huyu
Wazuri sana huwa wanalewa sifa sana na hivyo kijisikia na kuwa na dharau kea wenza wao wakijiaminisha ni wengi wanaowahitaji. Ukatae usikubali ndo uzoefu unavyotuonesha. Ndiyo maana mleta mada anawakubali ila anasema kuwaweka ndani utapata shida sana nao.Sasa wazuri waolewe na nani?
Siyo woga kwasababu ushahidi mwingi upo huku mitaani na wala huhitaji kufanya research.Hofu,woga na kutojiamini
Biblia ya wapi mkuu. Unge weka angalau mstari mmojabiblia inasema uzuri ni ubatili
Kazi kwako,woga unawatafunaSiyo woga kwasababu ushahidi mwingi upo huku mitaani na wala huhitaji kufanya research.
Sent using Jamii Forums mobile app
mzalishe watoto kila mwaka,Katika maisha ukitaka upate mafanikio ya haraka na kuondokewa na msongo wa mawazo yasiyo ya lazima basi hakikisha una date na warembo wakali wa kila namna kadri upendavyo lakini chonde chonde usithubutu kuoa mwanamke mzuri tena hasa ukiwa hauna hela, hapo utakuwa hujamuoa wewe bali umewaolea wenzako.
Msichana mzuri mchezee tu kisha muache , ukitaka kuoa oa mwanamke wa wastani sio mzuri sio mbaya utafanikiwa sana maishani.
Sepenga Siyo mrembo ni Umaarufu tu! Ukimkuta Hajapaka Makerup! Utamkumbia Ana Sura ya Babu kabisaaaa!Dah...
Kama Sepenga[emoji87] [emoji125] [emoji125]
Sent from my beretta ARX 160 using JamiiForums Mobile App
Kama wewe kitulikeHivi mwanamke mzuri yukoje?