Hakuna marefu yasiyo na ncha 😃Hii project ni kama imefikia ukingoni .... no more food
Hakuna marefu siyokuwa na ncha, Uzi kutembea miaka 5 sio jambo dogoHii project ni kama imefikia ukingoni .... no more food
KarbNaomba ruhusa kwenu niwe mrithi wa Yoga niendeleze huu uzi nishushe madini na za ndani kordoni
Asante nasubiri post yangu ifikishe like 50 kwanza Kisha nianze madiniKarb
Not flavoured one, plain one.Yoga kawa Yogurt
+ Kitendo Cha mkono wa baunsa kutoka hadharani ngoja tuupe mda utupe majibuVideo ya hotuba ya jana 31/12/2025 imechanganywa sana na AI, kuna nini kinaendelea nyuma ya pazia?