Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,847
- 37,541
Ss yoga nae kapotea tenaOya huu Uzi una views 4M si kitoto watu wengi wanapita kimya kimya
Ingekua platform nyingine angepata pesa 4m sio mchezo 😄 🤣
Ss yoga nae kapotea tenaOya huu Uzi una views 4M si kitoto watu wengi wanapita kimya kimya
JF waanze kulipa watu sasaSs yoga nae kapotea tena
Ingekua platform nyingine angepata pesa 4m sio mchezo 😄 🤣
KabisaJF waanze kulipa watu sasa
Tukutane December 2026
Sio rahisi trust me , Yoga kapita majaribu mengiAu washamsativa?
HAsa britaniccaHivi huyu yupo salama kweli? Alafu kuna IDs zile za Habari nyeti zimepotea ghafla
HAsa britanicca
umu kwamotoHivi huyu yupo salama kweli? Alafu kuna IDs zile za Habari nyeti zimepotea ghafla
Umemuona lini ? Na wapi?Huyu yupo
Yaani wamekazana kusema yupo wakati hata last seen yake inatia mashaka au ndi mamluki hawa!Umemuona lini ? Na wapi?
Mr Guys kuingizwa kingi ninaweza kukubali, anaongea vitu vya kukera na kutonesha vidonda wananchi, sijajua kama analijua hilo."In short"
"6"
👉"Mr guys" kaigizwa kingi...... He is there to end his dream
Ya 2030, and being thanked for his cooperation when he was a finance minister for what he did!
👉CEO and Mr born town are now officially "partners" but born town is still the TOP
👉"Mr mbiinchi" betrayed his friends and the plan to end born town legacy and removing CEO 2025
👉the betrayed are left speechless, it will take time for them to heal, speak or do anything since wooote wako chini ya uangalizi mkali na wengine wako under house arrest
👉An army inside the army, established in 2017, sasa limekuwa rasmi, Lina parmanet leaders na linaoparate off grid but using the name of official army. Lina nguvu kuliko the official, and their main objective is terminate any one against CEO and BORN TOWN
👉Mzee na watu wake wamekuwa very smart, Walianza upyaaaa, kete zinasukumwa kimya kimya, there is a surprise coming not soon but have faith
👉Born town son is your next CEO unless they decide differently
Yako mengiiiiiiii mno sijui hata nifupishe vip, SEMA tu
Wateja jiandaeni Kisawa sawa, kwa sasa Wanasema Bado miezi 2 tu Kila kitu kitakuwa sawa mtasahau kabisa.
😂😂