Dark days 17/03/20

Kiatu kabisa yule mzee.
 
😹😹😹
 
wabongo kwa ujuaji, eti mbona kila kitu kiko wazi hakuna jipya, mbona sasa hamkusema kabla yake, wengine kwetu mageni, acheni tuendelee kufunguliwa akili..
Ni kweli labda kwako ww ambae hufuatilii
Ila haya huko tiktok yule anajiita PCK na yule dada mwenye matusi ashaongea sn ndo maana watu hawaoni jipya
Ht britanicca na wengine humu washasema baadhi , polepole ndo kabisaaa km ulimfuatilia hskuna jipya hapa ...
 
Haiwezi kuwa, 2030 lazima atoke Dini tofauti na ya CEO wa sasa, huyo Prince asubiri hadi 2040.
Things have changed my dear. The previous system doesn't function anymore. Ndo maana ya haya yanayoendelea kwa sasa. The whole previous system that held this nation has collapsed. BT has made it possible kwa maslahi yake. Tulipofika anything is possible, hata BT mwenyewe ukitaka kurudi kuwa CEO tena, it's possible hakuna wa kuzuia.
 
Tobaaaaaaa!!!
 
Achana nae huyo .Hakuna jipya hata moja kila mtu mwenye akili anafahamu yote hayo.
 
Binafsi naamini katiba huendana na nyakati na kumsema Nyerere kwa nyakati alizoongoza na sasa pengine tunaweza tusimtendee haki sana

Yawezekana kweli alikuwa na uwezo wa kubadili katiba wakati wa Mwinyi na Mkapa, lakini kipindi hicho hakuwa Rais. Yawezekana kweli angeweza kubadili katiba kipindi chake, lakini hali ya wakati ule na sasa imekuwa tofauti sana. Kwa kipindi kile mapungufu ya katiba yalijificha ficha kwasababu ya aina ya viongozi waliokuwepo lakini sasa yako wazi

Kwa mapungufu kuonekana wazi wazi ndio muda sahihi wa kufanya marekebisho. Hata nguo iliyotoboka unaweza kuvumilia kuivaa kama tobo haliko sehemu inayoonekana ila tobo likishakuwa sehemu inayoonekana kutoliziba au kununua shati lingine huo ni upuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…